29/07/2024
Estrogen ni kundi la homoni muhimu kwa ajili ya maendeleo na utendaji kazi wa mfumo wa uzazi wa mwanamke.
Hasa huzalishwa na ovari, kwa kiasi kidogo kutoka kwa tezi za adrenal na, wakati wa ujauzito, na placenta.
Umuhimu wa Estrogen Kwenye Mimba:
π Hurekebisha Mzunguko wa Hedhi:
--> Hudhibiti ukuaji wa ukuta wa mfuko wa uzazi
π Upevushaji wa Mayai:
--> Husaidia kukomaa kwa follicles za ovari.
π Utoaji wa k**asi kwenye shingo ya kizazi:
--> Huchochea ute wa mlango wa uzazi, kusaidia mbegu kusafiri.
π Hudumisha Utando wa Uterasi:
--> Huhakikisha utando mzito na wenye virutubishi kwa ajili ya kiinitete.
π Husaidia Mimba za Mapema:
--> Hutunza ujauzito hadi pale placenta ikianza kufanya kazi.
Follow
==========================
β Join Group letu la Wajawazito Whatsapp
======================
ππ½ Tuna Duka la wajawazito na watoto, Magomeni Mapipa. Na tunauza kwa bei za Kariakoo.
ππ½ Tuna Vifaa vya kujifungulia, Nguo za watoto, receiving blankets, beseni, net godoro, n.k
β Tembelea website yetu kujua zaidi.
π www.clubafya.co.tz
π Tupigie 0622752509