02/09/2025
HAYA NDO MADHARA YA KUTOPATA USINGIZI WA KUTOSHA KWA MWANAUME
Madhara haya kwa mwanaume yanaweza kujitokeza kimwili, kiakili, kihisia hadi kimahusiano
ONA HAPA:
1. Kupungua kwa nguvu za mwili sababu misuli haijengeki vyema kutokana na kukosa kujirekebisha(recovery) unapolala
2. Kuongeza uzito na hamu ya kula kupitiliza kutokana na kuathiri homoni za njaa(leptin na ghrelin). Kibaya zaidi hufanya mtu kuwa na tamaa ya kula vyakula vyenye sukari na mafuta mengi hapo inakuwa ni rahisi mno kupata Kisukari, unene, matatizo ya ini na tumbo
3. Kukosa hamu ya kushiriki tendo(nguvu za kiume) yaani erectile disfunction
Hayo ni baadhi tu ya madhara anayoweza pata mwanaume anayekosa usingizi.
FANYA HIVI ULALE VIZURI:
1. Acha kutumia pombe, soda, kahawa na sigara hasa jioni na usiku
2. Epuka/acha tabia ya kukasirika bila sababu za msingi
3. Tumia maziwa, ndizi mbivu, chai ya unga wa msitafeli, chai ya unga wa mizizi ya mlonge, viazi vitamu, karanga, almonds, unga wa shayiri(Oats)
4. Acha tabia ya kushiba sana usiku muda mfupi kabla ya kulala
NOTE: SOMO HILI NI USHAURI TU, SIYO SHERIA. HIVYO JALI AFYA YAKO
Kwa wanaume tukumbuke pia kutibu NGIRI ili kuzipa nafasi homoni za kiume zifanye kazi vizuri, uweze kusimamisha kirahisi na upige show za kibabe
Dawa za ngiri na kupandisha homoni tunazo kwa Tsh 75,000 zote kwa pamoja
Ofisi yetu ipo Mwanza peke yake, eneo linaitwa Mkolani, ni jirani sana na Kanisa Katoliki Mkolani
Ukishavuka Kanisa Katoliki Mkolani utavuka tena jengo la bluu limeandikwa Nyota Rays ndipo utaona ofisi imeandikwa MASHA HERBAL STORE
Mikoa yote tunatuma, wewe utalipia usafiri tu halafu pesa ya dawa utailipa ukishapokea
Simu || WhatsApp
0767925000