02/11/2023
Karibuni tujifunze kuhusiana na Sonona.
Sonona ni athari ya kisaikolojia yenye dalili zifuatazo
Kuwa na huzuni ya kupitiliza
Kuwa na hasira
Mwili kuchoka
Maumivu ya kichwa na mgongo
Kuwa na mawazo mengi yasiyozuilika
Kujiona hauna thamani
Kukata tamaa
Kutokuiona kesho yako
Kuona heri ya kufa
Kukosa umakini
Kuwa na Hali ya usahaulifu
Hamu ya kula kupungua/kuongezeka
Usingizi kupungua/ kuongezeka
Hamu ya kufanya mapenzi kuisha
Mwili kuchoka
Kujitenga
Kujilaumu na zinginezo.
SABABU
Inaweza kuwa ugonjwa wa kurithi
Malezi
Kupata matukio ya kuumiza
Matumizi ya vilevi
Hali za maisha
Ugomvi katika familia
Kufiwa au kuachwa na umpendaye na nyinginezo
MATIBABU
Dawa
Kupata matibabu ya kisaikolojia
Karibu sana. Kwa huduma zaidi wasiliana na mwanasaikolojia wako Egla Fugusa 0685180275, 0769690700