JALI AFYA YAKO

JALI AFYA YAKO Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JALI AFYA YAKO, Pharmaceuticals, tabora, Urambo.

Jipatie dawa kiboko ya tezi dume kwa wanaume wanaosumbuliwa na tatizo Hilo kwa muda mrefu au kutokuata haja ndogo kirahi...
06/08/2024

Jipatie dawa kiboko ya tezi dume kwa wanaume wanaosumbuliwa na tatizo Hilo kwa muda mrefu au kutokuata haja ndogo kirahisi, wasiliana nasi kwa namba 0753435683

Jipatie dawa Kiboko ya tezi dume , kwa wanaume wanaisumbuliwa na tezi dume au kutokuata haja ndogo kirahisi,   wasiliana...
06/08/2024

Jipatie dawa Kiboko ya tezi dume , kwa wanaume wanaisumbuliwa na tezi dume au kutokuata haja ndogo kirahisi, wasiliana nasi kwa namba 0753435683

Zaminocal ni dawa nzuri kwa matatzo ya uzazi hasa kwa akina mama.
30/07/2024

Zaminocal ni dawa nzuri kwa matatzo ya uzazi hasa kwa akina mama.

18/07/2024
TIBA  YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA.•••ARTHROEXTRA + ZAMINOCAL (TIBA YA MIFUPA KUSAGANA  KATIKA MAUN...
18/07/2024

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA.



ARTHROEXTRA + ZAMINOCAL (TIBA YA MIFUPA KUSAGANA KATIKA MAUNGIO,, NA TIBA YA MAUMIVU YA VIUNGO )mfano
mgongo,nyonga,magoti nk

KWANZA, TUJIELIMISHEKIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?
=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT)

MTU ANAPOFIKISHA MIAKA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISAH MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,

HII HISABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO,
TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA,
=>ARTHROEXTRA NI BIDHAA INAYOREJESHA UTE UTE NA GEGEDU(CARTILAGE)
HIVYO HUSAIDIA MIFUPA ISIENDELEE KUSAGANA KWENYE VIUNGO, HUONDOA MAUMIVU HARAKA.
=>ZAMINOCAL HUONGEZA MADINI YA CALCIUM HIVYO HUSAIDIA KUPONA HARAKA,
NI KIRUTUBISHO CHA ASILI,, HAINA KEMIKALI, IMETHOBITISHWA NA TFDA.
PIGA
0743643596
kupata huduma.

Address

Tabora
Urambo
12345

Telephone

+255743643596

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JALI AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to JALI AFYA YAKO:

Share