Visa ya Afya ya Mama kijacho

Visa ya Afya ya Mama kijacho Nawasaidia wanawake kubeba ujauzito kwa haraka zaidi

Je,umeangaika kutafuta mtoto kwa mda mrefu, usiteseke tena VISA YA MAMA KIJACHO wanakuletea dawa itakayo kusaidia wewe m...
09/03/2024

Je,umeangaika kutafuta mtoto kwa mda mrefu, usiteseke tena VISA YA MAMA KIJACHO wanakuletea dawa itakayo kusaidia wewe mwanamke kuheshimiwa na kufurahia familia yako wasiliana nasi kwa no 0716937898

P.I.D ni mahambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusiaha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),ny...
09/03/2024

P.I.D ni mahambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusiaha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa uzazi (ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi (SALPINGTIS)

MWANAMKE, ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
- Kupitia ngono zembe
- Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
- kufanya mapenzi bila kutumia kinga
-Kupia magonjwa ya zinaa hususani kaswende na kisonono
-Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara

DALILI ZA P.I.D
💥Kutokwa na uchafu mzito sehem za siri
💥Uke kutoa harufu mbaya
💥Kuwashwa sehem za siri
💥Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
💥Uke kua mlain san
💥Maumivu wakati wa tendo la ndoa
💥Kuvurugika kwa hedhi na kutokwa na majimaji kupita kiasi

MADHARA YA P.I.D
💫Maumivu ya tumbo au nyonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa aukipindi cha upevushaji mayai hali hii utokana na majeraha yaliyopo katika mirija ya uzazi
💫Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija ya uzazi ambayo upelekea mishipa kuziba
💫Ugumba kwa mwanamke
💫Kupata kansa ya shingo ya kizazi

Unapoona Dalili za ugonjwa huu wahi kupata matibabu kwani ugonjwa huu ni hatari na hunaweza kasababisha ugumba au kansa ya shingo ya kizazu
💨💨Ugonjwa wa P.I.D unatibika vizuri kabisa ivyo basi k**a upo tayari unaumwa na umezunguka hospitalini bila mafanikio basi wasiliana nasi kwa msaada piga/whtsp 0716937898

09/03/2024
Elezea changamoto yako hapa niweze kukusaidia, usifiche maradhi yako na kuendelea kuteseka suruhisho la changamoto yako ...
09/03/2024

Elezea changamoto yako hapa niweze kukusaidia, usifiche maradhi yako na kuendelea kuteseka suruhisho la changamoto yako lipo ukiwahi matibabu so kalibu nikusikilize kero yako hapa.👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Shida kubwa ya P.I.D ni uchafu unatoka na vimelea vya MAGONJWA.hivyo vimelea vinabaki kwenye mazingira yako.Mazingira k*...
23/02/2024

Shida kubwa ya P.I.D ni uchafu unatoka na vimelea vya MAGONJWA.hivyo vimelea vinabaki kwenye mazingira yako.Mazingira k**a chupi,mataulo,night dress,kanga,choo,au kitu chochote unachotumia kujifuta au kilichogusa huo uchafu n.k Kwa iyo hospitali unapewa dawa LAKINI chanzo Cha maambukizi yako nyumban.So unapewa dawa unapona baada ya muda ugonjwa unaludi Tena.Kibaya zaidi hivi vimelea haviwezi kufa Kwa sabuni za kawaida tunazotumia nyumbani.Kwa iyo ugonjwa utapotea na unarudi...huku ukizid kukutekuteza.Nakusababisha matatizo chungu nzima k**a # uvimbe na maji kwenye ovary .Ukipata tatizo lolote kati ya haya inakuwa changamoto mnoo mimba kiingia. Wasiliana NAMI Kwa matibabu wasiliana Nami Whatsapp 0716937898 Kwa tiba na elimu

Address

Usa River

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Visa ya Afya ya Mama kijacho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share