wizbadowe_101

wizbadowe_101 HEALTH AND WELTH

✨ Ukitoa mawazo yako kwa ujasiri mbele ya watu, unafungua milango ya mabadiliko si kwa ajili yako pekee, bali kwa jamii ...
23/09/2025

✨ Ukitoa mawazo yako kwa ujasiri mbele ya watu, unafungua milango ya mabadiliko si kwa ajili yako pekee, bali kwa jamii nzima. πŸš€πŸ’‘

Thamani yako kamwe haipungui. Watu wengine wanaweza wasione juhudi zako, wanaweza wasishangilie hatua zako, lakini hiyo ...
19/09/2025

Thamani yako kamwe haipungui. Watu wengine wanaweza wasione juhudi zako, wanaweza wasishangilie hatua zako, lakini hiyo haibadilishi wewe ni nani. Kumbuka, mwanga wa taa hauhitaji shangwe ili uangaze, na vilevile juhudi zako hazihitaji makofi ili ziwe na maana. Simama imara, endelea kupigania ndoto zako – kwa sababu dunia inakuhitaji ukiwa wewe halisi, ukiwa na nguvu zako, na ukiwa na uthubutu wako.🌍πŸ’ͺ✨

πŸ₯ˆβœ¨ Nimeibuka Mshindi wa Pili Afrika nzima katika Speech Contest 2025 🌍🎀Ninafurahi sana kushirikiana nanyi kaktika ushind...
17/09/2025

πŸ₯ˆβœ¨ Nimeibuka Mshindi wa Pili Afrika nzima katika Speech Contest 2025 🌍🎀

Ninafurahi sana kushirikiana nanyi kaktika ushindi huu. Asante sana kwa kura zenu, sapoti yenu na imani yenu – pasipo nyinyi hii safari isingekuwa rahisi πŸ™πŸ’

Ushindi huu ni wetu sote πŸ’ͺ🌟

πŸ”₯ It’s official! πŸ”₯Dada’s Afya imezaliwa leo πŸŽ‰πŸŒΏTunakuja na nguvu mpya kuzungumzia AFYA ya mwanamke kwa uwazi, elimu na up...
15/09/2025

πŸ”₯ It’s official! πŸ”₯
Dada’s Afya imezaliwa leo πŸŽ‰πŸŒΏ
Tunakuja na nguvu mpya kuzungumzia AFYA ya mwanamke kwa uwazi, elimu na upendo.
πŸ’š Kila wiki πŸ‘‰ Elimu
πŸ’š Kila siku πŸ‘‰ Motivation
πŸ’š Kila hatua πŸ‘‰ Wewe na sisi pamoja!

Follow & share kwa marafiki zako β€” Afya njema inaanza hapa ✨

Hey Dada πŸ’•Karibu kwenye Dada’s Afya – sehemu yako salama ya kujifunza, kuuliza maswali, na kupata nguvu ya kujitunza.Afy...
15/09/2025

Hey Dada πŸ’•
Karibu kwenye Dada’s Afya – sehemu yako salama ya kujifunza, kuuliza maswali, na kupata nguvu ya kujitunza.
Afya ni zawadi, na sisi tupo hapa kuhakikisha unaimiliki kikamilifu 🌸

πŸ’Œ Tuanze safari hii pamoja!

Karibu kwenye 🌿 Dada’s Afya 🌿Hapa ni nyumbani kwa elimu ya afya ya mwanamke.Tutashirikiana katika safari ya kuelewa mwil...
15/09/2025

Karibu kwenye 🌿 Dada’s Afya 🌿
Hapa ni nyumbani kwa elimu ya afya ya mwanamke.
Tutashirikiana katika safari ya kuelewa mwili wako, kujitunza, na kuishi maisha yenye afya bora. πŸ’š

πŸ‘‰ Fuata ukurasa huu ili usipitwe na elimu na ushauri muhimu kila siku.

Mambo ni mawili tu Kata tamaa na uone jinsi ndoto zako zinavyokufa AU shikilia na uone zikikua.πŸ€©πŸ˜‡
13/09/2025

Mambo ni mawili tu Kata tamaa na uone jinsi ndoto zako zinavyokufa AU shikilia na uone zikikua.πŸ€©πŸ˜‡

Leo tumetembelea Jaa la Kibele, Zanzibar – kituo muhimu cha kusimamia taka.Tuliona juhudi za kuhifadhi mazingira kupitia...
23/08/2025

Leo tumetembelea Jaa la Kibele, Zanzibar – kituo muhimu cha kusimamia taka.
Tuliona juhudi za kuhifadhi mazingira kupitia:

Ukusanyaji wa tani 300 za taka kwa siku

Ushirikiano wa wajasiriamali katika urejelezaji

Mipango ya kudhibiti maji machafu na taka hatarishi

ZACCA inaamini kwa ubunifu na mshikamano, Zanzibar inaweza kuwa mfano wa usimamizi endelevu wa taka.

*

🌱 Kila hatua ndogo unayopiga ni ushindi mkubwa kuelekea ndoto zako. Usijidharau, maana safari ndefu huanza na hatua moja...
22/08/2025

🌱 Kila hatua ndogo unayopiga ni ushindi mkubwa kuelekea ndoto zako. Usijidharau, maana safari ndefu huanza na hatua moja. Leo umefanya kidogo, kesho utaweza zaidi. Endelea kusonga mbele, hakuna hatua inayopotea bure. πŸ’ͺ✨

Usiogope kuanza tena, safari mpya huleta matunda mapya. πŸ‘πŸ’šπŸŒΏπŸ₯³  #2025  ❀️
15/08/2025

Usiogope kuanza tena, safari mpya huleta matunda mapya. πŸ‘πŸ’šπŸŒΏπŸ₯³ #2025 ❀️

       πŸ˜˜πŸ€‘πŸ₯°
13/08/2025

πŸ˜˜πŸ€‘πŸ₯°

master your passion activities πŸ˜‡πŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ…
14/07/2025

master your passion activities πŸ˜‡πŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ…

Address

Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when wizbadowe_101 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram