MELI NANE Dispensary

MELI NANE Dispensary Karibu Meli Nane Dispenary kwa huduma bora za kiafya na nafuu. Welcome at Meli Nane Dispenary

06/10/2022

Jifunze kuhusu ungojwa huu.

06/10/2022

Melinane Dispensary "we value your health"

👏
05/01/2022

👏

Huyu ni mgonjwa wa sukari alikuja kituoni kwetu akiwa na kidonda ambacho nikichafu sana(Septic wound) na kilikuwa kinaka...
03/01/2022

Huyu ni mgonjwa wa sukari alikuja kituoni kwetu akiwa na kidonda ambacho nikichafu sana(Septic wound) na kilikuwa kinakaribia kuathiri sehemu za mifupa yake.
Kwa Umahiri wa wahudumu wetu na kwa kutumia mbinu bora kabisa za kutibu vidonda, kidonda hicho kimepona vizuri k**a kinavyo onekana katika picha hii.

Karibuni sana kituoni kwetu kwa huduma nafuu na bora kabisa.
Melinane Dispensary"Tunathamini afya yako".

This is picture of known Diabetic patient who had severe septic wound which was nearly infect his bones. Under our well trained staff and the best dressing techniques we are using, the wound healed very well as shown by the picture.

Welcome to our Dispensary of best medical services

Melinane Dispensary "We value your health".

Our official logo.
31/12/2021

Our official logo.

Kwa huduma bora za Ultrasound fika kituoni kwetu.Tuna mtaalam aliyebobe katika upigaji wa ultrasound.Come to our clinic ...
30/12/2021

Kwa huduma bora za Ultrasound fika kituoni kwetu.

Tuna mtaalam aliyebobe katika upigaji wa ultrasound.

Come to our clinic for best ultrasound services.

We have very experienced and talented Radiographer.

Book your appointment: +255 773 136 496/+255 778 875 528.

Karibuni Melinane Dispensary kwa huduma zilizo bora na nafuu.Tunapatikana Bububu Melinane Njia ya kwendea Ngalawa.
07/10/2021

Karibuni Melinane Dispensary kwa huduma zilizo bora na nafuu.

Tunapatikana Bububu Melinane Njia ya kwendea Ngalawa.

Address

Bububu, Melinane
Zanzibar City

Telephone

+255787007679

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MELI NANE Dispensary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to MELI NANE Dispensary:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram