Zanzibar Human Genetics Organization - ZHGO

Zanzibar Human Genetics Organization - ZHGO Non - Government Organization focus on Health Matters i.e Human genetics and rare diseases researches

Siku ya Magonjwa Adimu Duniani mwaka huu itaadhimishwa Tarehe 29, Februari.Moja ya mtu mwenye magonjwa Adimu ni Ali Kima...
27/02/2024

Siku ya Magonjwa Adimu Duniani mwaka huu itaadhimishwa Tarehe 29, Februari.Moja ya mtu mwenye magonjwa Adimu ni Ali Kimara, Mtoto ambaye amejaaliwa talanta mbalimbali na anazionesha kupitia ufaulu wake kupitia mfumo wa Elimu nje ya Shule. Ali ana ndoto za kuwa Rubani. TUMUOMBEE.
Ali Kimara Rare Disease Foundation
Rare Disease Day
Zanzibar Human Genetics Zhgo

Chanzo kikubwa cha maradhi ya mfumo wa Mkojo (UTI) ambavyo hupelekea kukojoa mara kwa mara hutokana na mfumo kushambuliw...
26/02/2024

Chanzo kikubwa cha maradhi ya mfumo wa Mkojo (UTI) ambavyo hupelekea kukojoa mara kwa mara hutokana na mfumo kushambuliwa na Bacteria aidha kwenye Figo, Kibofu cha mkojo ama mirija ya usafirishaji.
wb.md/3SOpNM8

Chemicals ambazo zinazotumika kutengenezea Kontena, Chupa na Vifungashio vya Chakula na Vipodozi zinahusishwa na matatiz...
16/02/2024

Chemicals ambazo zinazotumika kutengenezea Kontena, Chupa na Vifungashio vya Chakula na Vipodozi zinahusishwa na matatizo ya kiafya ikiwemo matatizo ya kujifungua kabla ya muda "preterm births "
Centrefordiseasecontrol

World Health Organization African Region
WebMD
wb.md/3SQjdWD

Unapokula Tikiti kula na mbegu zake 🍉. Mbegu za Tikiti zina faida kubwa kiafya na zimesheheni virutubisho vingi sana iki...
10/02/2024

Unapokula Tikiti kula na mbegu zake 🍉. Mbegu za Tikiti zina faida kubwa kiafya na zimesheheni virutubisho vingi sana ikiwemo protein, vitamins, magnesium, zinc na potassium.

Usitupe mbegu za Tikiti !
FAO
World Health Organization African Region

 .com iliibuka hoja kuwa matumizi ya Energy Drinks yanachangia madhara mwilini hasa Figo na hoja hii imethibitikaUtafiti...
08/02/2024

.com iliibuka hoja kuwa matumizi ya Energy Drinks yanachangia madhara mwilini hasa Figo na hoja hii imethibitika
Utafiti wa Kituo cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa unaeleza athari za vinywaji hivyo ni "Energy hazifai, zina vimelea vya uraibu na zinaweza kuathiri Moyo, Ubongo, Mishipa ya Fahamu, Figo na hata mapafu kwa baadhi ya Watu
SDG3. Good Health and Well-Being
World Health Organization (WHO)

A new preclinical study harnesses  -Cas9   technology to restore   dysfunctional memory  ’ ability to kill virally infec...
06/02/2024

A new preclinical study harnesses -Cas9 technology to restore dysfunctional memory ’ ability to kill virally infected target cells.

scim.ag/5LA

Leo ni maadhimisho ya siku ya Saratani Duniani.  . Ki afya ongezeko la Saratani ni mzigo mkubwa Duniani, ambapo kila kat...
04/02/2024

Leo ni maadhimisho ya siku ya Saratani Duniani. . Ki afya ongezeko la Saratani ni mzigo mkubwa Duniani, ambapo kila katika watu 5 mtu 1 ana uwezekano wa kupata Saratani

Miongoni mwa Saratani maarufu;
🔸Figo
🔸Utumbo
🔸Ziwa
🔸Tumbo
🔸Tenzi
World Health Organization African Region
World Health Organization Tanzania
World Health Organization (WHO)
SDG3. Good Health and Well-Being

The gene editor CRISPR-Cas9 is contributing to innovative cancer therapies and may contribute to curing inherited diseas...
04/02/2024

The gene editor CRISPR-Cas9 is contributing to innovative cancer therapies and may contribute to curing inherited diseases.

Emmanuelle Charpentier and Jennifer Doudna received the 2020 chemistry prize for their research on CRISPR/Cas9.

Je, wewe ni mtaalam Mhandisi Biolojia au Mtaalam wa Afya unayetaka kujiendeleza kwenye eneo la utaalam wa masuala ya cha...
01/02/2024

Je, wewe ni mtaalam Mhandisi Biolojia au Mtaalam wa Afya unayetaka kujiendeleza kwenye eneo la utaalam wa masuala ya chanjo?

Ikiwa jibu ni ndio, fuatisha link hapa chini na ujisajili kwa ajili ya mafunzo ya "2024 Introductory Course for Biologics Development and Manufacturing organized by the Global Training Hub for Biomanufacturing (GTH-B) - IVI" yanayotolewa na International Vaccine Institite (IVI) yenye makao makuu yake nchini Korea.

ivi.int/call-for-appli…

Kwa Afya nzuri ya Mgongo na Uti wa Mgongo wako, hizi ni baadhi ya vidokezo vya kuweza kukaa mikao iliyosahihi kuepusha M...
29/01/2024

Kwa Afya nzuri ya Mgongo na Uti wa Mgongo wako, hizi ni baadhi ya vidokezo vya kuweza kukaa mikao iliyosahihi kuepusha Maumivu. wb.md/3OfTSCL
WebMD
World Health Organization African Region
World Health Organization Tanzania
SDG3. Good Health and Well-Being

K**a vidole vyako vya mikono vinaonekana k**a hivi, hali hii inajuulikana k**a "Digital clubbing ". Ambayo inaweza kua n...
27/01/2024

K**a vidole vyako vya mikono vinaonekana k**a hivi, hali hii inajuulikana k**a "Digital clubbing ". Ambayo inaweza kua ni dalili ya magonjwa sugu k**a vile; maambukizi ya Mapafu, Magonjwa ya Moyo, kuharibika kwa Ini, na hata Saratani.
World Health Organization African Region
World Health Organization Tanzania
SDG3. Good Health and Well-Being

🚫 Malaria inabaki kua kikwazo kikubwa ki Afya barani Afrika 🌍, ambapo huathiri mamilioni ya watu kila mwaka.Kupambana na...
26/01/2024

🚫 Malaria inabaki kua kikwazo kikubwa ki Afya barani Afrika 🌍, ambapo huathiri mamilioni ya watu kila mwaka.
Kupambana na Malaria kikamilifu na kiumadhubuti kwa kujikinga ni jambo muhimu sana.
Tunapaswa kujinginga wenyewe na tuwapendao kwa kufanya yafuatayo.👇🏿
World Health Organization African Region
World Health Organization (WHO)
World Health Organization Tanzania
SDG3. Good Health and Well-Being

Address

Mjini
Zanzibar City

Telephone

+255659806759

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Human Genetics Organization - ZHGO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Zanzibar Human Genetics Organization - ZHGO:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram