20/09/2023
Njia Sahihi Za Kupunguza Unene
Mpango Wa Chakula Na Namna Ya Kula
Kusudi mwili uwe na nguvu, kila wakati unahitaji kuvunjavunja na kuunguza mafuta yaliyomo mwilini. Endapo mwili utagundua hakuna chakula tumboni, utaacha kuunguza mafuta na badala yake utaanza kuvunjavunja misuli ya mwili.
Imethibitishwa kwamba watu wanaokula milo mitatu kwa siku wanapunguza uzito wa miili yao haraka zaidi ya wale wanaopata milo pungufu. Hii ina maana gani? Maana yake ni kwamba siyo sahihi kufikiri kuwa unaweza kupunguza uzito kwa kupunguza kula. Kupunguza uzito kwa njia inayofaa ni kula milo yote ya kawaida na chakula cha aina fulani na kamwe si kwa kuruka milo.
Follow us for more tips loss journey #
Kwa maelezo zaidi WhatsApp number +255658858840 au piga