11/04/2022
HITILAFU KATIKA MFUMO WA MMENGENYO WA CHAKULA
Afya ya mfumo wako wa umeng’enyaji chakula hutegemea hasa uwiano mzuri kati ya bakteria wazuri na wabaya wanaoishi kwenye tumbo lako.
Bakteria wazuri ambao kwa kawaida hukaa tumboni mwako ni wa muhimu sana katika umeng’enyaji wa chakula, kwakuwa husaidia urekebishaji wa vyakula vya wanga, nyuzinyuzi au fiber pamoja na baadhi ya sukari.
Pale bakteria kwenye tumbo lako wanapokuwa hawana uwiano sawa, unaweza kuanza kuona matatizo katika umeng’enyaji chakula, ikiwa pamoja na kukosa choo, kuharisha, kuhisi kichefuchefu, gesi, tumbo kuunguruma, nk.
Nipigie simu Kwa msaada zaidi