15/01/2026
📚📚📚📓
Back to School 2026 - Shop with
Pandu Bookshop!
Mwaka mpya wa shule umefika, na pandubook shop ipo hapa kuhakikisha
unaanza kwa nguvu! Tunakuletea kila kitu unachohitaji vitabu vya shule, penseli, kalamu, backpacks, notebooks, calculators na vifaa vingine vyote vya elimu 6 Pata bidhaa za ubora, kwa bei nafuu, na huduma ya haraka, huku ukijiandaa kwa mwaka mzuri
wa masomo.
Usisubiri! Tembelea duka letu Lumumba
Street, piga simu kwa +255774318945, au tuma ujumbe kupitia WhatsApp 062 292
2217. Shop with us, be ready, and shine this school year! 💪🏽🥳🥳