
13/07/2022
*DALILI ZA MIRIJA YA UZAZI KUZIBA*
πΆSio wote wenye tatizo hili huonesha Dalili. Asilimia kubwa ya wanawake wenye tatizo hili hawaoneshi Dalili zozote. Aina ya tatizo Hili kitaalamu inayojulikana K**a *HYDROSALPINX* ndio huwa na Dalili za maumivu ya tumbo na Kutokwa na maji maji mengi ukeni.
*HYDROSALPINX* Ni Aina ya tatizo la mirija ya uzazi kuziba ambapo mirija inaziba na kujaa maji. Pia Mwanamke huweza kupata Dalili K**a Maumivu wakati wa tendo la ndoa na maumivu makali wakati wa hedhi n.k
*KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI KUNASABABISHA VIPI UGUMBA..?*
β¬Kila mwezi yai la mwanamke linapopevuka huachiliwa kutoka kwenye mfuko wa mayai na kusafiri kuelekea kwenye mji wa mimba. Mbegu za kiume pia husafiri kutokea kwenye shingo ya kizazi na kulifuata yai kwenye mirija ya uzazi ili kulirutubisha, tuelewe kuwa urutubishwaji wa yai unafanyika kwenye mirija ya uzazi wakati wa yai linasafiri kuelekea mji wa mimba.
πΆMirija inapokuwa inazuia yai kusafiri kufika kwenye mji wa mimba, husababisha mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
K**a unamfahamu mwanamke mwenye changamoto hii usisite kuwasiliana nasi: piga simu/sms/WHATSAPP:π Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi tafadhali
0774 010 322 (Wanu na Afya)
Piga simu au WhatsApp
Bonyeza link hii tafadhali
ππ½ππ½ππ½
https://wa.me/message/6N2ODLSXJZ5JM1