
28/07/2022
Kuna muda mtu akipitia msongo wa mawazo kwa muda mrefu hujikuta akiingia kwenye njia ambazo sio sahihi kwaajili ya Kupunguza mawazo tu.
Maana kuwa na Msongo wa mawazo unaweza kusababisha kuongezeka kwa kishawishi cha kutumia madawa ya kulevya k**a vile pombe, sigara, bangi, mirungi na vitu vingine.
Ingawa dawa hizi zinaweza kukusaidia kwa muda mfupi, ila husababisha hatari kubwa sana kiafya za muda mrefu.
Jambo linalo sikitisha ni kwamba Matumizi makubwa ya pombe, Sigara na bangi Huleta Athari Kubwa sana kiafya k**a magonjwa ya moyo, Matatizo ya Kansa, Shinikizo la damu, tatizo la ini, Uharibifu wa mfumo wa FAHAMU na pia Huchochea Upungufu wa nguvu za Kiume.
Kwa hiyo k**a ni Mwanaume umepata janga la Upungufu wa nguvu za Kiume na ukaenda Kutumia pombe na vilevi vingine Ili Kupunguza mawazo! Yani unazidi kujiweka hatarini ya Kupata Matatizo mengi zaidi kwenye Afya Yako! Na nguvu za Kiume zitazidi Kupungua.
Maana Matumizi mabaya ya pombe, Sigara na bangi husababisha ulevi kuongezeka, viwango vya msongo wa mawazo kuwa vikubwa zaidi na athari mbaya za kitabia na kijamii.
Kwasababu watu Wengi wanaotumia vilevi na Dawa zingine huwaga ni wakali sana na wenye visirani hata wakiwa na wapenzi wao jambo ambalo hupelekea Mahusiano yao pia kuvunjika.
NOTE; Kuimarisha Afya yako ndio njia pekee itakayo kusaidia kuondokana na Changamoto ya Upungufu wa nguvu za Kiume na sio utumiaji wa Dawa za kulevya.
*TUNA PROGRAM ZA VIRUTUBISHO PAMOJA NA MIONGOZO MAALUM ITAKAYO KUSAIDIA KUIMARISHA AFYA YAKO YA UZAZI NDANI YA SIKU 30 TU*
K**A UNASUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
TUWASILIANE KWA NAMBA 👇🏽👇🏽👇🏽
𝐂𝐀𝐋𝐋/ 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 #0652570543
Pia Follow education31