19/09/2023
Kufahamu aina ya uzito na kitambi itakusaidia kufanya jitihada sahihi bila ya kupoteza pesa nyingi na muda mwingi katika mchakato huo
KUMBUKA
Uzito mkubwa na kitambi unaepukika na unatibika (unapungua), LAKINI ni lazima ufanye jitihada sahihi kulingana na aina ya tatizo lako.
👉Aina ya VITAMBI vimegawiwa kutokana na sababu zake
Mfano kitambi baada ya kujifungua (Post pregnancy belly), kitambi kutokana na mvurugiko wa vichocheo (hormonal belly), kitambi kutokana na ulaji usiofaa (Punctured tired/low belly), kitambi kutokana na msongo wa mawazo (stressed belly), kitambi kutokana na unywaji wa bia (alcoholic belly ) n.k.
👉Likini pia UZITO mkubwa umegawiwa kutokana vigezo kadhaa k**a vifuatavyo :-
1. Sababu zake. 👉 Uzito mkubwa kutokana na ulaji usiofaa kiafya, msongo wa mawazo, mazingira, baadhi ya magonjwa, urithi, kupungua kwa ufanisi wa uchomwaji kalori n.k
2. Uzito mkubwa Kulingana na body mass index 👉 Uzito mkubwa daraja la kwanza (low risk BMI 30-34.5 kg/m²), Daraja la pili (moderate risk BMI 35-39.9) na daraja la tatu (morbid/severe obesity BMI 40 na zaidi)
3. UZITO mkubwa kutokana na ukubwa na kiwango cha seli za mafuta 👉Hypertrophic obesity (seli zimeongezeka ukubwa) na hyperplasia (seli zimeongezeka idadi)
4. Uzito mkubwa kulingana na mtawanyiko wa mafuta 👉Peripheral, central, combination obesity (yaani uzito wa chini/pembeni, uzito wa kati na uliochanganya zote mbili)
5. Uzito mkubwa kulingana na uhusiano na magonjwa mengine 👉 Ya kwanza inasababisha na ulaji usiofaa na kutokufanya mazoezi (hakuna ugonjwa). Ya pili inachangiwa na magonjwa k**a vile upungufu wa thyroxine hormonal (hypothyroidism ), mabadiliko ya homoni kwa wanawake na kupelekea matatizo katika vifuko vya mayai, matatizo ya kongosho, kuongezeka kwa cortisol Homoni (Cushing syndrome )
Hivyo basi bila ya kufahamu sababu yako kwa undani ni vigumu kupata matokeo unayoyatarajia.
Kwa hivyo tumekuandilia darasa la BURE ili kufahamu kwa kina juu ya hayo na kupata elimu ya msingi itakayokuwezesha kufanya jitihada za uhakika na kupata matokeo ya uhakika.
Ili kujiunga na darasa tuma neno uzito kwenda WhatsApp no. 0672776258
Contact
Call/WhatsApp
0672776258
Mr. Mojuba