Mr Afya

Mr Afya I HELP LOSE WEIGHT AND RECOVER JOINT & BONES PROBLEMS WITHOUT SURGERY

K**A HUYU UNGEKUA NI WEWE UNGECHUKUA HATUA INAWEZEKANA NI WEWE,NDUGU AU RAFIKI ANAPITIA HALI HII;1-Ukianza tu kushiriki ...
18/02/2024

K**A HUYU UNGEKUA NI WEWE UNGECHUKUA HATUA INAWEZEKANA NI WEWE,NDUGU AU RAFIKI ANAPITIA HALI HII;

1-Ukianza tu kushiriki tu tendo la ndoa UNAFIKA KILELENI HAPO HAPO.

2-Ukimaliza tendo la ndoa UNAKOSA HAMU KABISA YA KURUDIA TENDO AU KUENDELEA NA TENDO.

3-Kuna wakati UNATAMANI SANA NA UNAJIANDAA KABISA KUSHIRIKI TENDO Ilakini kila ukitaka kuanza kufanya tendo DHAKARI INAGOMA KABISA KUSIMAMA..ENDAPO UNAPITIA YOYOTE KATI YA HIZI ISHARA 3

Tuma neno me inbox nikutumie muongozo wa vitu muhimu vya kufanya ili kupona changamoto Moja Kwa moja 0743430909

Au bonyeza link kwenye profile yangu

16/02/2024
UKISHAJIGUNDUA TU FANYA YAFUATAYO ๐Ÿ‘‡;1. Kubali ya kwamba umekumbwa na tatizo na unahitaji suluhisho mapema Sana , usiwe m...
13/02/2024

UKISHAJIGUNDUA TU FANYA YAFUATAYO ๐Ÿ‘‡;

1. Kubali ya kwamba umekumbwa na tatizo na unahitaji suluhisho mapema Sana , usiwe mbishi kwenye kukubali tatzo utajidanganya.

2. Anza kuepuka vyanzo vilivyokusababishia tatizo , k**a ni punyeto jitahidi kuacha , k**a ni sigara au bangi jitahidi kuounguza na kuacha , nk

3. Kula vyakula tofauti punguza ulaji wa vyakula vya wanga ikiwemo vyakula vya ngano , punguza ulaji wa sukari na chumvi pia , Kula mboga mboga za majani na matunda tofauti tofauti.

4. Zingatia utaratibu wa kuanza dozi ya virutubisho mapema unaweza kuanza na Dozi kamili , na k**a uchumi umebana anza na nusu dozi au robo dozi , Usione hasara kuugharamia mwili wako na afya yako , Kumbuka Afya yako ni zaidi ya kila kitu , Jinyime mambo mengine ili uboreshe nguvu zako za kiume.

NAAMINI KILA MWANAUME AMEJIFUNZA KITU MUHIMU HAPA ๐Ÿค

13/02/2024

๐Ÿ‘‰Unavyominya uume kwa nguvu kutafuta msisimko kwa viganja vyako vya mkono unaua Neva,mishipa ya damu ambayo huingiza damu kwenye uume na misuli ya uume ndio Maana uume unakuwa Mwembamba na kuwa mdogo ,uume unajenga usugu kwenye ngozi yake.

๐ŸŒฐPunyeto huwezi kufanya muda mrefu Ni sekunde tu tayari unamaliza shughuli yako ,Sasa mwili wako unazoea Hivyo (kuji--condition ).Siku ukifanya mapenzi halisi na Mwanamke unatumia sekunde hizo hizo ulizozoea Wakati wa kufanya Punyeto hutaweza kutembea zaidi ya hapo.

๐ŸŒฐ Kwa hiyo tunaweza kuona Kwamba punyeto inafupisha muda wa kufanya tendo la ndoa .

๐ŸŒฐHii inapelekea mwenza unashiriki nae tendo la ndoa kutokuridhika ,unamuacha njia panda.

๐ŸŒฐPia kuchua uume kwa mkono husabisha uume kulegea Sana ,hata kupelekea kutoa shahawa bila kufanya tendo la ndoa

๐Ÿ‘‰Utajikuta baada ya kusimamisha uume shahawa zinaanza kuvuja zenyewe.

๐Ÿ‘‰Ukishikwa kidogo tu unasisimka haraka shahawa zinatoka ghafla,na uume unasinyaa .

Mambo ya kuzingatia

๐˜ผ๐˜พ๐™ƒ๐˜ผ ๐™‹๐™๐™‰๐™”๐™€๐™๐™Š ๐™‡๐™€๐™Š ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ.
Kupata suluhisho 0622552718 what's App or call

18/11/2023

...TIBA BORA NAYA HARAKA KUPONA MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA...
GUSA LINK KWENYE VIDEO KWA HUDUMA YA HARAKA..

Je,Unajua kwanini ??
17/11/2023

Je,Unajua kwanini ??

17/11/2023

.TIBA YA HARAKA KUPONA VIUNGO NA MIFUPA BILA KUTUMIA DAWA WALA OPERATION...
..GUSA LINK AMBAYO IPO KWENYE VIDEO KWA MAWASILIANO ZAIDI..

16/11/2023

NINAJUA UNATESEKA SANA KUTOKANA NA MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA PIA UMESHAANGAIKA SANA LAKINI BADO HAUJAPATA MATOKEO UNAYOTAKA..
.NITAFUTE KWA KUBOFYA LINK AMBAYO IPO KWENYE VIDEO ILI NIKUPATIE SURUHISHO LA TATIZO LAKO..

12/11/2023

JUA SABABU ZA MAUMIVU YA MGONGO

Hi changamoto kitaalamu Hujulikana k**a SCIATICA PAIN.Huathiri eneo la chini la Uti Wa Mongo na kupelekea Disc za mgongo...
16/09/2023

Hi changamoto kitaalamu Hujulikana k**a SCIATICA PAIN.

Huathiri eneo la chini la Uti Wa Mongo na kupelekea Disc za mgongo kukandamiza Mshipa ya fahamu (nerve root) Matokeo yake hupelekea dalili zifuatazo.

1. Maumivu Makali ya Mongo Karibu na Kiuno ambayo husambaa kwenye mguu/Miguu yote.

2.Miquu kupata Ganzi mpaka kwenve unvavo na wakati Mwingine kuonyesha dalili za kupalalayze

3. Maumivu Makali ya Mongo Karibu na kiuno pindi Unaposimama, Kutembea au kukaa.

4. Maumivu Makali ya Mgongo Karibu na kiuno Pindi Unapoinama, kunyanyua vitu vizito, au kukaa.

5.Miguu na nyayo kuwaka moto Wakati mwingine kuishiwa na
Nguvu.

6. Kushindua kuzuia Hajandogo au Haja kubwa tatizo linapozidi kukua.

Hili tatizo linatibika Kwa maelezo zaidi wasiliana na malinga afya ya mifupa kwa matibabu zaidi

TIBA YA MAUMIVU YA MIFUPA BILA UPASUAJIWatu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na Changamoto mbalimbali za Mifupa kwa muda Mre...
25/05/2023

TIBA YA MAUMIVU YA MIFUPA BILA UPASUAJI

Watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na Changamoto mbalimbali za Mifupa kwa muda Mrefu bila kupata suluhisho la kudumu
Mfano MAGOTI,,,MGONGO,,,NYONGA,,,MIGUU,,,,,MIKONO NK.

DALILI ZA MAUMIVU YA MIFUPA

1.Maumivu makali sana kwenye eneo lililoathirika
2.Kuhisi ganzi hasa mikononi na Miguuni
3.Kushindwa kuinama au kuinuka na wakati mwingine kushindwa kutembea kwa umbali mrefu
4.Kushindwa kukunja magoti vizuri kutokana na maumivu
5.Magoti na vidole kuvimba
6.Kushindwa kubeba vitu

MADHARA YA MAUMIVU YA MAUNGIO

1.Operation (sio suluhisho la tatizo hilo)
2.Stroke
3.Ulemavu wa kudumu hasa mgongo kuinama na mguu kuwa mfupi
4.Kansa ya mifupa
5.Kupoteza nguvu za kiume/wanawake kupoteza hamu ya tendo
6.Kushindwa kulala wala kukaa tena kwa muda mrefu
7.Ukavu wa macho
8.Matatizo ya mapafu
9.Figo kufeli
10.Ini kufeli nk.

SULUHISHO WASILIANA NAMI KWA SIMU NAMBA ;

TUWASILIANE
+255 622 552 718

MATATIZO YA VIUNGO NA MIFUPA YAMESHAKUWA NI TATIZO SANA KWA WATU WENGI NA WATU UTUMIA PESA NYINGI NA MUDA MWINGI BILA KU...
25/05/2023

MATATIZO YA VIUNGO NA MIFUPA YAMESHAKUWA NI TATIZO SANA KWA WATU WENGI NA WATU UTUMIA PESA NYINGI NA MUDA MWINGI BILA KUPATA MATOKEA WENGINE UFIKIA KUFANYIWA UPASUAJI KWA MAUMIVU YALIVYOKUWA YANAWATESA,WENGINE UANGUKIA KWENYE URAIBU WA UTUAMIJI WA DAWA ZA MAUMIVU MAISHA YAO YOTE NA HII UWASABABISHIA MATATIZO YA INI,FIGO,SARATANI NA KUPOTEZA HALI YA KUKOSA WATOTO MAISHA YAO YOTE

SASA UNAWEZA KUPONA MATATIZO YA VIUNGO NA MIFUPA BILA UPASUAJI NA KWA MUDA MFUPI BILA KUPATA MADHARA YA AINA YEYOTE WASILIANA NAMI KWA WHATSAPP NAMBA 0743430909

Address

Mchina Mwanzo
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mr Afya:

Share