Zanzibar Human Genetics Organization - ZHGO

Zanzibar Human Genetics Organization - ZHGO Non - Government Organization focus on Health Matters i.e Human genetics and rare diseases researches

Siku ya Magonjwa Adimu Duniani mwaka huu itaadhimishwa Tarehe 29, Februari.Moja ya mtu mwenye magonjwa Adimu ni Ali Kima...
27/02/2024

Siku ya Magonjwa Adimu Duniani mwaka huu itaadhimishwa Tarehe 29, Februari.Moja ya mtu mwenye magonjwa Adimu ni Ali Kimara, Mtoto ambaye amejaaliwa talanta mbalimbali na anazionesha kupitia ufaulu wake kupitia mfumo wa Elimu nje ya Shule. Ali ana ndoto za kuwa Rubani. TUMUOMBEE.
Ali Kimara Rare Disease Foundation
Rare Disease Day
Zanzibar Human Genetics Zhgo

Chanzo kikubwa cha maradhi ya mfumo wa Mkojo (UTI) ambavyo hupelekea kukojoa mara kwa mara hutokana na mfumo kushambuliw...
26/02/2024

Chanzo kikubwa cha maradhi ya mfumo wa Mkojo (UTI) ambavyo hupelekea kukojoa mara kwa mara hutokana na mfumo kushambuliwa na Bacteria aidha kwenye Figo, Kibofu cha mkojo ama mirija ya usafirishaji.
wb.md/3SOpNM8

Chemicals ambazo zinazotumika kutengenezea Kontena, Chupa na Vifungashio vya Chakula na Vipodozi zinahusishwa na matatiz...
16/02/2024

Chemicals ambazo zinazotumika kutengenezea Kontena, Chupa na Vifungashio vya Chakula na Vipodozi zinahusishwa na matatizo ya kiafya ikiwemo matatizo ya kujifungua kabla ya muda "preterm births "
Centrefordiseasecontrol

World Health Organization African Region
WebMD
wb.md/3SQjdWD

Unapokula Tikiti kula na mbegu zake 🍉. Mbegu za Tikiti zina faida kubwa kiafya na zimesheheni virutubisho vingi sana iki...
10/02/2024

Unapokula Tikiti kula na mbegu zake 🍉. Mbegu za Tikiti zina faida kubwa kiafya na zimesheheni virutubisho vingi sana ikiwemo protein, vitamins, magnesium, zinc na potassium.

Usitupe mbegu za Tikiti !
FAO
World Health Organization African Region

 .com iliibuka hoja kuwa matumizi ya Energy Drinks yanachangia madhara mwilini hasa Figo na hoja hii imethibitikaUtafiti...
08/02/2024

.com iliibuka hoja kuwa matumizi ya Energy Drinks yanachangia madhara mwilini hasa Figo na hoja hii imethibitika
Utafiti wa Kituo cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa unaeleza athari za vinywaji hivyo ni "Energy hazifai, zina vimelea vya uraibu na zinaweza kuathiri Moyo, Ubongo, Mishipa ya Fahamu, Figo na hata mapafu kwa baadhi ya Watu
SDG3. Good Health and Well-Being
World Health Organization (WHO)

A new preclinical study harnesses  -Cas9   technology to restore   dysfunctional memory  ’ ability to kill virally infec...
06/02/2024

A new preclinical study harnesses -Cas9 technology to restore dysfunctional memory ’ ability to kill virally infected target cells.

scim.ag/5LA

Leo ni maadhimisho ya siku ya Saratani Duniani.  . Ki afya ongezeko la Saratani ni mzigo mkubwa Duniani, ambapo kila kat...
04/02/2024

Leo ni maadhimisho ya siku ya Saratani Duniani. . Ki afya ongezeko la Saratani ni mzigo mkubwa Duniani, ambapo kila katika watu 5 mtu 1 ana uwezekano wa kupata Saratani

Miongoni mwa Saratani maarufu;
🔸Figo
🔸Utumbo
🔸Ziwa
🔸Tumbo
🔸Tenzi
World Health Organization African Region
World Health Organization Tanzania
World Health Organization (WHO)
SDG3. Good Health and Well-Being

The gene editor CRISPR-Cas9 is contributing to innovative cancer therapies and may contribute to curing inherited diseas...
04/02/2024

The gene editor CRISPR-Cas9 is contributing to innovative cancer therapies and may contribute to curing inherited diseases.

Emmanuelle Charpentier and Jennifer Doudna received the 2020 chemistry prize for their research on CRISPR/Cas9.

Je, wewe ni mtaalam Mhandisi Biolojia au Mtaalam wa Afya unayetaka kujiendeleza kwenye eneo la utaalam wa masuala ya cha...
01/02/2024

Je, wewe ni mtaalam Mhandisi Biolojia au Mtaalam wa Afya unayetaka kujiendeleza kwenye eneo la utaalam wa masuala ya chanjo?

Ikiwa jibu ni ndio, fuatisha link hapa chini na ujisajili kwa ajili ya mafunzo ya "2024 Introductory Course for Biologics Development and Manufacturing organized by the Global Training Hub for Biomanufacturing (GTH-B) - IVI" yanayotolewa na International Vaccine Institite (IVI) yenye makao makuu yake nchini Korea.

ivi.int/call-for-appli…

Kwa Afya nzuri ya Mgongo na Uti wa Mgongo wako, hizi ni baadhi ya vidokezo vya kuweza kukaa mikao iliyosahihi kuepusha M...
29/01/2024

Kwa Afya nzuri ya Mgongo na Uti wa Mgongo wako, hizi ni baadhi ya vidokezo vya kuweza kukaa mikao iliyosahihi kuepusha Maumivu. wb.md/3OfTSCL
WebMD
World Health Organization African Region
World Health Organization Tanzania
SDG3. Good Health and Well-Being

K**a vidole vyako vya mikono vinaonekana k**a hivi, hali hii inajuulikana k**a "Digital clubbing ". Ambayo inaweza kua n...
27/01/2024

K**a vidole vyako vya mikono vinaonekana k**a hivi, hali hii inajuulikana k**a "Digital clubbing ". Ambayo inaweza kua ni dalili ya magonjwa sugu k**a vile; maambukizi ya Mapafu, Magonjwa ya Moyo, kuharibika kwa Ini, na hata Saratani.
World Health Organization African Region
World Health Organization Tanzania
SDG3. Good Health and Well-Being

🚫 Malaria inabaki kua kikwazo kikubwa ki Afya barani Afrika 🌍, ambapo huathiri mamilioni ya watu kila mwaka.Kupambana na...
26/01/2024

🚫 Malaria inabaki kua kikwazo kikubwa ki Afya barani Afrika 🌍, ambapo huathiri mamilioni ya watu kila mwaka.
Kupambana na Malaria kikamilifu na kiumadhubuti kwa kujikinga ni jambo muhimu sana.
Tunapaswa kujinginga wenyewe na tuwapendao kwa kufanya yafuatayo.👇🏿
World Health Organization African Region
World Health Organization (WHO)
World Health Organization Tanzania
SDG3. Good Health and Well-Being

Ugonjwa wa Nimonia (Pneumonia) ni ugonjwa ambao unaweza kua wa kawaida vile vile kua hatarishi na mgonjwa kuhitajika kue...
24/01/2024

Ugonjwa wa Nimonia (Pneumonia) ni ugonjwa ambao unaweza kua wa kawaida vile vile kua hatarishi na mgonjwa kuhitajika kuenda Haspitali. Kila mtu anaweza kupata ugonjwa huu lakini watoto chini cha umri wa miaka 2na watu wazima 65+ wapo hatarini zaidi
wb.md/4959HEc
WebMD

Pindi ambapo mwili ukiwa na upungufu wa chembe chembe hai nyekundu za Damu (Red blood cells), huwezi kua na kiwango cha ...
24/01/2024

Pindi ambapo mwili ukiwa na upungufu wa chembe chembe hai nyekundu za Damu (Red blood cells), huwezi kua na kiwango cha kutosha kwenye tissues za mwili. Hali hiyo hupelekea kudhoofika na kujihisi mchovu na muda mwengine kushindwa kupumua vizuri. WebMD
wb.md/48ILgN5

Mfumo mzima wa Kinga ya mwili (Immune system) kazi kubwa ni kupambana na magonjwa ama visababishi vya maradhi pia kuupon...
23/01/2024

Mfumo mzima wa Kinga ya mwili (Immune system) kazi kubwa ni kupambana na magonjwa ama visababishi vya maradhi pia kuuponya mwili. Vile vile Kinga hiyo ya Mwili inaweza kuwa dhaifu, kuitika chini ya kiwango, kuitika juu ya kiwango au hata kuushambulia mwili kwa bahati mbaya na kusababisha maradhi.
WebMD

Chapisho moja huko nchini Marekani limethibitisha, watu wanaokunywa Kahawa kuanzia vikombe 3 - 5 kwa siku, wapo mikono s...
05/01/2024

Chapisho moja huko nchini Marekani limethibitisha, watu wanaokunywa Kahawa kuanzia vikombe 3 - 5 kwa siku, wapo mikono salama kuepusha ukusanyaji wa madini ya Calcium katika mishipa ya damu, Hii husaidia kuepusha uwezekano wakupata maradhi ya moyo.
wb.md/47vX4kF
WebMD

Mkandamizo wa Mawazo sio tu unaathiri hali ya hisia (Mood) bali pia huathiri zaidi uwezo wa Kufikiri, uwezo wa kufanya M...
01/01/2024

Mkandamizo wa Mawazo sio tu unaathiri hali ya hisia (Mood) bali pia huathiri zaidi uwezo wa Kufikiri, uwezo wa kufanya Maamuzi na uwezo wa Kumbukumbu zako. Njia moja wapo ya kukabiliana na mkandamizo wa mawazo ni kwa kufanya mambo yanayokuletea furaha k**a kusoma Vitabu, kufanya Mazoezi, kutembea n.k.
WebMD

Biomedical engineers introduce a paper-like, battery-free sensor that uses   to assess wound healing. The sensor enables...
30/12/2023

Biomedical engineers introduce a paper-like, battery-free sensor that uses to assess wound healing.

The sensor enables a 97% accuracy in early detection of adverse events, such as infection, and could improve wound care management. scim.ag/5m4

Address

Zanzibar City

Telephone

+255659806759

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Human Genetics Organization - ZHGO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Zanzibar Human Genetics Organization - ZHGO:

Share