Ujumbe wa afya

Ujumbe wa afya Pata Ushauri namna ya kutakua
changamoto ya afya yako

Permanently closed.
Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wanaume Na Wanawake!Wamekuwa wanahangaika kwa muda mrefu na tatizo La  Upungufu wa Nguvu za kiume...
19/10/2022

Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wanaume Na Wanawake!

Wamekuwa wanahangaika kwa muda mrefu na tatizo La Upungufu wa Nguvu za kiume bila ya kupata utatuzi wa uhakika k**a ni NDIO basi naomba unisikilize kwa makini kabisa kwani huenda taarifa ifuatayo ikawa taarifa muhimu kuliko taarifa yoyote katika maisha yako.

Baada ya kuwasaidia wanaume zaidia ya 185 wenye Changamoto za Upungufu wa nguvu za kiume nimekuja kugundua kuwa chanzo cha tatizo Lao kuwa sio Kula vyakula Visivyo na virutubisho Tu k**a Watu wengi wanavyodai bali ni jambo ambalo ukilifahamu utaweza kuondokana na tatizo mara moja bila ya kutumia dawa Yoyote.

Ndani ya taarifa hii fupi nitazungumzia chanzo cha tatizo lako na mambo 5 ya kuzingatia kuweza kutatua tatizo hilo na jambo gani la kufanya mara moja kuweza kutokomeza tatizo hilo sugu.

K**a umefaidika na taarifa hii na utapenda kuonana na mimi ana kwa ana kwa ajili ya ushauri wa BURE KABISA kupata muongozo wa kutatua tatizo lako piga simu namba 0786546636 Au Tume Ujumbe WhatsApp "AFYA"

*DALILI ZA HATARI KWA MWANAMKE ZINAZO MFANYA ASIPATE MIMBA.*🙆Ukavu ukeni🙆Maumivu wakati wa tendo la ndoa🙆Kutoa jasho usi...
17/10/2022

*DALILI ZA HATARI KWA MWANAMKE ZINAZO MFANYA ASIPATE MIMBA.*

🙆Ukavu ukeni
🙆Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🙆Kutoa jasho usiku
🙆Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
🙆Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
🙆Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7.
🙆Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
🙆Uchovu wa mara kwa mara
🙆Hasira za mara kwa mara
🙆Kukosa usingizi
🙆Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
🙆Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
🙆Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
🙆Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
🙆Maumivu ya viungo
🙆Upungufu wa nywele kichwani.
🙆Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
🙆Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
🙆Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
🙆Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
🙆Msongo wa mawazo

KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
WhatsApp+255786546636

❇️ *UNAFAHAMU NINI KUHUSU DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI❓✳️ *-Kiu ya mara kwa mara*✳️ *-Kupungua uzito licha ya kula vizu...
05/10/2022

❇️ *UNAFAHAMU NINI KUHUSU DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI❓

✳️ *-Kiu ya mara kwa mara*
✳️ *-Kupungua uzito licha ya kula vizuri*
✳️ *-Njaa Kali haswa mara kwa mara*
✳️ *-Kizungu zungu*
✳️ *-Macho kupungua uwezo wa kuona*
✳️ *-Kukojoa kupita kiasi cha kawaida*
✳️ *-Kidonda kisichopona haraka*

*❇️MADHARA YA KISUKARI ENDAPO UTAPUUZA*

✳️ *-Magonjwa ya Moyo*
✳️ *-Kiharusi/Kupooza*
✳️ *-Kupungua Nguvu za kiume*
✳️ *-Figo Kushindwa kufanya kazi*

⚠️ KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
WhatsApp+255786546636
https://wa.me/+255786546636

❇️ *DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI*✳️ *-Kiu ya mara kwa mara*✳️ *-Kupungua uzito licha ya kula vizuri*✳️ *-Njaa Kali hasw...
03/10/2022

❇️ *DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI*

✳️ *-Kiu ya mara kwa mara*
✳️ *-Kupungua uzito licha ya kula vizuri*
✳️ *-Njaa Kali haswa mara kwa mara*
✳️ *-Kizungu zungu*
✳️ *-Macho kupungua uwezo wa kuona*
✳️ *-Kukojoa kupita kiasi cha kawaida*
✳️ *-Kidonda kisichopona haraka*

*❇️MADHARA YA KISUKARI ENDAPO UTAPUUZA*

✳️ *-Magonjwa ya Moyo*
✳️ *-Kiharusi/Kupooza*
✳️ *-Kupungua Nguvu za kiume*
✳️ *-Figo Kushindwa kufanya kazi*

⚠️
KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
WhatsApp+255786546636
https://wa.me/+255786546636

❇️ *UNAFAHAMU NINI KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI❓**Kisukari (Diabetic)ni ugonjwa unaonyesha viwango vikubwa vya**Glukosi ka...
01/10/2022

❇️ *UNAFAHAMU NINI KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI❓*

*Kisukari (Diabetic)ni ugonjwa unaonyesha viwango vikubwa vya*
*Glukosi katika Damu. Sababu yake ni uhaba wa Hormone ya Insuline Mwilini Au upungufu wa uwezo wa Mwili wa kukabiliana na Insuline.*

❇️ *VIASHIRIA VYA UGONJWA WA KISUKARI*

✳️ *-Unene uliozidi na kiribatumbo*
✳️ *-Ulaji Mbaya wa chakula*
✳️ *-Baadhi ya Madawa*
✳️ *-Msongo wa Mawazo*
✳️ *-Kutofanya Mazoezi*
✳️ *-Magonjwa yanayoharibu Kongosho*
*✳️-Utumiaji wa pombe uliozidi na utumiaj wa sigara*
✳️ *-Historia ya Ugonjwa wa kisukari kwenye familia*
*✳️-Umri zaidi ya miaka arobaini kadiri tunavyozeeka na kongosho letu linapunguza uwezo wa kuzalisha Insuline.*

KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
WhatsApp+255786546636
https://wa.me/+255786546636

Changamoto Ya Afya Ya Uzazi Ya Mwanaume Kwa Asilimia Kubwa Inasababishwa Na:-1) Mfumo Wa Maisha     Aina Ya Vyakula, Uny...
19/09/2022

Changamoto Ya Afya Ya Uzazi Ya Mwanaume Kwa Asilimia Kubwa Inasababishwa Na:-
1) Mfumo Wa Maisha
Aina Ya Vyakula, Unywaji Ulio Pitiliza Wa Pombe, Sigara Na Vinywaji Vyenye Sukari
2) Uzito Kupitiliza
3) Msongo Wa Mawazo
4) Mtatumizi Ya Muda Mrefu Ya Dawa
5) Ugonjwa Fulani
Hizo Pia Ni Baadhi Ya Sababu
Sasa Kabla Ya Changamoto Ya Kiafya Haijafika Ya Kutumia Dawa Au Opareshen Unaweza Kurekebisha Kwa Kuboresha Lishe Yako Na Mfumo Wako Wa Maisha
KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
KWENDA
WhatsApp: https//wa.me/+255786546636

VYAKULA VYA KUJIZUIA NAVYO KUTOKULA UKIWA UNASUMBULIWA NA VIDONDA VYA TUMBO1)Vyakula Vyenye Viungo Vingi2)Vyakula au Kin...
15/09/2022

VYAKULA VYA KUJIZUIA NAVYO KUTOKULA UKIWA UNASUMBULIWA NA VIDONDA VYA TUMBO
1)Vyakula Vyenye Viungo Vingi
2)Vyakula au Kinywaji chenye caffeine Hivyo Angalia Label K**a Wewe Ni Muhanga wa Vyakula Vya Viwandani Na Hautaki Kuacha
3)Pombe Ya Aina Yoyote
4)Vyakula Vyote Vya Ngano Vyeupe K**a Mikate
5)Vyakula Vya Sukari nyingi Pia Vinywaji Vya Sukari Nyingi.
KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
Whatsapp +255786546636

LEO NINGEPENDA KUKUJUZA VITU 4 VINAVYO ANGAMIZA NGUVU ZAKO ZA KIUME NA KUKUACHA MWENYE MSONGO WA MAWAZO: 1)Vinywaji vyen...
13/09/2022

LEO NINGEPENDA KUKUJUZA VITU 4 VINAVYO ANGAMIZA NGUVU ZAKO ZA KIUME NA KUKUACHA MWENYE MSONGO WA MAWAZO:
1)Vinywaji vyenye sukari nyingi k**a soda

2)Kuepuka kabisa ulaji wa vyakula vya mafuta haya yale mazuri.

3)Vyakula vyote vya kusindika viwandani.

4)Sumu mbali mbali kutoka kwenye mazingira.
KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
Whatsapp+255786546636

JINSI VIDONDA VYA TUMBO VINAVYOKEA1. KUTOKANA NA ATHARI ZA TINDIKALI(asidi): Vidonda vya tumbo hufanyika wakati asidi kw...
12/09/2022

JINSI VIDONDA VYA TUMBO VINAVYOKEA

1. KUTOKANA NA ATHARI ZA TINDIKALI
(asidi):
Vidonda vya tumbo hufanyika wakati asidi kwenye njia ya utumbo inapokula utando mlaini uliopo kwenye uso wa ndani wa tumbo au utumbo

2. MASHAMBILIZI YA BAKTERIA.
Bakteria aina ya pylori ya Helicobacter kitaalamu huitwa Helicobacter pylori au H.pylori kawaida huishi kwenye safu ya utando laini ambao unashughulikia na hulinda tishu zilizopo kwenye tumbo na utumbo mdogo.

3. MATUMIZI YA MARA KWA MARA YA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU. Kuchukua aspirini, na vile vile dawa za maumivu ya juu-na-na dawa inayoitwa nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs) zinaweza kusababisha uvimbe kwenye ukuta wa tumbo lako na utumbo mdogo.

4. MATUMIZI YA DAWA ZINGINE ZISIZOKUA HIZO ZILIZOTAJWA HAPO JUU.
Kuchukua dawa zingine pamoja na zile za NSAIDs, k**a vile steroid, anticoagulants, aspirin ya kiwango cha chini, kuchagua inhibitors ya serotonin reuptake (SSRIs), alendronate (Fosamax) na risedronate (Actonel), kunaweza kuongeza sana nafasi ya kukuza vidonda.
KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
Whatsapp+255786546636

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEMara nyingi sana Tatizo Hili Lina Vyanzo Vingi Ambavyo Wengi Wetu Tuna Vi...
10/09/2022

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Mara nyingi sana Tatizo Hili Lina Vyanzo Vingi Ambavyo Wengi Wetu Tuna Vipuuza, Hivyo Vyanzo Vingine Huathiri Taratibu Na vyengine ni Haraka
1)Kua Na Halemu(Cholesterol) Na Sindikizo La Damu(B.P)
2) Kuvuta sigara na unywaji wa Pombe
3)Kuwa Na Mawazo Na wasiwasi
4) Matumizi Ya Madawa Mbali Mbali
5) Umri Hasa Wazee
6)Tabia Za Kujichua Kwa Mda Mrefu
7) Kisukari
8) Kuwa na Tatizo La Kibofu

KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
Whatsapp+255786546636

TABIA ZA KUEPUKA ZINAZOSABIBISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA MTANANGE . 1~Kuvaa nguo za ndani za kubana ambazo husababisha viun...
09/09/2022

TABIA ZA KUEPUKA ZINAZOSABIBISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA MTANANGE .

1~Kuvaa nguo za ndani za kubana ambazo husababisha viungo vyako vya uzazi kubanwa.

2 ~Epuka kufanya kazi za kukaa kwa muda mrefu.

3 ~kumeza dawa kila unapijiskia vibaya bila ushauri wowote wa daktari.

4 ~kukaa maeneo ya joto kali ,Kuweka laptop mapajani inayotoa joto kali.

5 ~ kuvuta sigara na kunywa pombe kupita kiasi.🌿🍁🍺🍻

6~kutokuwa na furaha na kukubali msongo wa mawazo na kukasirika. 😤😡😠

7~kuangalia TV mda mrefu na kuwa "couch potato" .🖥🎮

8~uzito kupita kiasi pamoja na kitambi.

KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO "AFYA"
Kwenda WhatsApp+255786546636

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBODalili Za Vidonda Vya Tumbo Hujitokeza Baada Ya kula Au Kabla Ya Kula, Ila Mara nyingi wengi ...
08/09/2022

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili Za Vidonda Vya Tumbo Hujitokeza Baada Ya kula Au Kabla Ya Kula, Ila Mara nyingi wengi Wanapuuzia
👇
1)Kupata Maumivu Ya Tumbo Yanayokua k**a Ya moto baada na kabla ya chakula.
2)Kupatwa na Kiungulia Karibu na chembe ya moyo
3) Kichefu chefu na kutapika Tena yawezekana kutapika Damu
4) Kupata hajakubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, Pia Haja Yaweza kuchanganyika na Damu
5) Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
6) Kushindwa Kupumua vizuri

KWA USHAURI ZAIDI TUMA NENO AFYA
Whatsapp+255786546636

Leo Ningependa Ku Share Na Wewe Madhara Tisa(9) Ya Vidonda Vya Tumbo Mwilini**Kuvuja Damu Ndani Ya Mwili Yani(Internal B...
07/09/2022

Leo Ningependa Ku Share Na Wewe Madhara Tisa(9) Ya Vidonda Vya Tumbo Mwilini
**Kuvuja Damu Ndani Ya Mwili Yani(Internal Bleeding and Serious Blood Loss)

**Upungufu Wa Damu(Anaemia)

**Kutapika Damu

**Kupata Kinyesi Cheusi K**a cha Mbuzi

**Kuvurugika Kwa Mfumo Wa Mmeng'enyo wa Chakula(obstructed Digestion)

**Shida Katika Kupumua

**Saratani Ya Tumbo( Stomach Cancer)

**Msongo Wa Mawazo (Stress)

Kupungua Kwa Nguvu Za Kiume

TUMA NENO AFYA KWENDA
Whatsapp+255786546636

MR: ABDULTELL: +255786546636UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME HULETA HOFU NA MAWAZOUsiwe mkimya kuongea na mwenza wako Kuhusu H...
06/09/2022

MR: ABDUL
TELL: +255786546636
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME HULETA HOFU NA MAWAZO
Usiwe mkimya kuongea na mwenza wako Kuhusu Hili Suala.
Kwani Upungufu wa Nguvu za Kiume unasababishwa na "MSONGO WA MAWAZO" Mbali na hivyo pia husababishwa na kuto jiamini na Uoga wa Kua na Mwanamke
Wengi Wamejaa Na wasiwasi Na Hofu kubwa Ya kugunduliwa Na Wenzi Wao Ya kwamba Wana tatizo hilo
Ndio mana Ikifikia Hatua mwenzi wako amebainj Nimara chache sana atakubali kua hauja mfikisha Kileleni kwa kuhofia kwamba ata kukwaza
KWANINI USUMBUKE NA MATATIZO K**A HAYA WAKATI TIBA IPO...?🤷

MR: ABDULWhatsApp no: +255786546636NJIA TANO ZA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME:Najua Umekua ukisumbuka Kila siku Kufurahia ndo...
05/09/2022

MR: ABDUL
WhatsApp no: +255786546636

NJIA TANO ZA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME:
Najua Umekua ukisumbuka Kila siku Kufurahia ndoa yako, hadi kufikia hatuam baya.
pole kwa changamoto lakini elimu nibora kuliko yalio kupata Hebu soma hiki Kifuatacho hapo chini👇
Nimekua nikipewa Asante na wagonjwa wangu kila siku na wagonjwa wangu pia ww unaweza ukawa miongoni mwao:-

✓EPUKA VINYWAJI VYOVYOTE VYENYE SUKARI NYINGI, VYAKUSINDIKA, VYENYE VIONJO VYA SUKARI, RANGI NA LADHA

✓FANYA MAZOEZI YA KUTOSHA

✓RUDISHA VIRUTUBISHO VILIVYO PUNGUA MWILINI MWAKO

✓ONDOA MAFUTA MABAYA YANAYO PUNGUZA MZUNGUKO WAKO WA DAMU

✓SAFISHA SUMU MWILINI KWA KUTUMIA VIONDOA SUMU

ORDER PROGRAM YAKO SASA AU KWA USHAURI ZAIDI WA KIAFYA
MAWASILIANO 📞
DM/WhatsApp +255786546636

DALILI ZA TATIZO LA UPUNGUFUWA NGUVU ZA KIUME: ✓Kushindwa Kusimamisha Uume vizuri:Changamoto hii wanayo wengi hasa Na we...
05/09/2022

DALILI ZA TATIZO LA UPUNGUFUWA NGUVU ZA KIUME:
✓Kushindwa Kusimamisha Uume vizuri:
Changamoto hii wanayo wengi hasa Na wengine kushindwa kabisa au kupatikana udhaifu katika Kusimamisha Uume vizuri ni moja ya DALILI za upungufu wa NGUVU za KIUME hii inaweza kusababishwa na na maradhi yanayo husiana na mzunguko wa damu, Sababu za ki saikolojia k**a mawazo n.k
✓Kutokwa na hamu ya Tendo la ndoa.
✓Kushindwa kurudia Tendo la ndoa. ikiambatana na kuwahi kufika kileleni haraka.
✓Kupata udhaifu na uchovu wa mwili wakati wa Tendo la ndoa.

KWA USHAURI WA MASWALA YA AFYA
WHATSAPP +255786546636

WATU WENGI WANATESEKA NA UZITO ULIO ZIDI BILA YA KUJUA NINI HASA WAFANYE  KUPUNGUA KWA NJIA YA SALAMA KIAFYA . TAZAMA HA...
05/09/2022

WATU WENGI WANATESEKA NA UZITO ULIO ZIDI BILA YA KUJUA NINI HASA WAFANYE KUPUNGUA KWA NJIA YA SALAMA KIAFYA . TAZAMA HAYA MATOKEO TUNAWEZA KUKU SAIDIA

Unaweza kutumia Virutubisho ambavyo vitakavyo kuwezesha kupunguza Uzito kati ya KILO 3 mpaka KILO 9 au zaidi ndani ya siku 9 au pia kupungua mpaka kilo 15 na zaidi ndani ya siku 24 na kupata MUONGOZO na CHAKULA sahihi
ORDER PROGRAM YAKO SASA.
MAWASILIAON:
Dm/Call/WhatsApp ±255786546636

( Note: hivi ni virutubisho vya chakula)

Address

Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ujumbe wa afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ujumbe wa afya:

Share