
06/04/2023
MWANAUME SOMA HAPA ITAKUSAIDIA KUOKOA MAISHA YAKO NA NDOA YAKO!
ZIJUE DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,
Kwanza unatakiwa kufaham UPUNGUFU wa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili za ugonjwa inamaanisha kuna dosari au udhaifu katika utendaji wa viungo vyako ndani ya mwili,
NGUVU ZA KIUME NI NINI?
ni neno la jumla lenye mjumuisho wa mambo mengi ambayo yamegawanyika katika sehem MBALI MBALI
1. Hamu ya tendo la ndoa
2. Kusimama kwa uume barabbara k**a kipande cha mti au msumari)
3. Stamina kiasi cha kukupelekea kufurahia tendo
4. Pumzi
5. Uwezo wa kurudia tendo
6. Wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda
*Kwa lugha nyepesi Hii ndio maana ya neno nguvu za kiume*
Sasa basi tumeona hapo juu kuwa k**a kuna udhaifu au dosari katika utendaji wa BAADHI ya viungo ndani ya mwili wako basi sio mbaya tukajua BAADHI ya viungo vinavyohusika kuwasha umeme kwa mwanaume / namaanisha nguvu za kiume na viungo hivi hufanya kazi zingine pia katika mwili
Kuna viungo zaidi ya 50 ila kwa uchache ni ivi vifuatavyo
1. Ubongo
2. Moyo
3. Mishipa
4.mirija iliyo ndani ya uume
5. Neva maalum za parasympathetic
6. Uti wa mgongo
7. Kiuno / nyonga
8. Misuli
9. Tezi ya pituitari
10. Utando maalum wa uumeni.
*HIVYO BASI TUNAPOONGELEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TUNAMAANISHA KUWA NDANI YA MWILI WAKO KUNA VITU HAVIFANYI KAZI VIZURI LABDA NI INI , FIGO , TEZI DUME LIMETANUKA , AU HOMONI HAZIJA WIANA HAPA SASA NDIPO HUTOKEA NENO NA KITENDO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
JIJUE JITAMBUE HIZI NI DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
1. kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Uume kusimama kwa ulegevu, kusinyaa na kurudi ndani AU KUTOWEZA KUSIMAMISHA KABISA
3. Kuwahi kufika kileleni
4. Kuchelewa sana kufika au kutofika kabisa mshindo
5. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada
6. Kukosa pumzi hivyo hupelekea kusimamisha zoezi Mara kwa Mara
7. Kukosa uchangamfu wa mwili katika utendaji .
8. Kuchoka sana baada ya tendo na hata kuskia kichefchef au kuskia usingizi MZITO SANA MARA TU UMALIZAPO ..
9. KUSHINDWA KURUDIA TENDO ZAIDI YA MARA MOJA
KWA LUGHA NYEPESI NGUVU ZA KIUME NI K**A SERIKALI AMBAYO INA WIZARA MBALI MBALI ILI SERIKALI IFIKE KULETA MATUNDA MAZURI KWA JAMII HIZI WIZARA LAZMA ZIWE THABIT KATIKA MASLAHI YA JAMII NA SERIKALI KWA UJUMLA NA ENDAPO WIZARA MOJA ITAKUWA INA HITILAFU BASI LENGO HUSIKA KUTOKA KWA SERIKALI KUJA KWA JAMII HALITATOKEA ASILANI MF. WIZARA YA NISHATI NA MADINI IGOME , WIZARA AFYA IGOME , UNAFIKIRIA SERIKALI HII ITAFIKIA MALENGO ??? BASI NDIVYO HIVYO NDANI YA MWILI WAKO .. TEZI IKIKOSA AFYA , MOYO , UBONGO NK NK LAZIMA EFFECT ITATOKEA NA MOJA YA EFFECTS NI UPUNGUFU WA NGUVU ..
Au tuseme kiwanda kuna wafanya kazi , kuna maji , umeme , madawa ivi ikotokea WAFANYAKAZI TU WAKAGOMA je hiki kiwanda kitazalisha bidhaa itayofika Sokoni?
MSICHOKIJUA WANAUME WENGI kupungukiwa nguvu za kiume ni kasoro za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili hii ni kengele ya tahadhari kipo kitu hakifanyi kazi vizuri ..
Sasa KOSA kubwa wanalolifanya wanaume wengi TANZANIA NA NJE ni kuanza kutafuta suluhisho la dawa za nguvu za kiume na kuzibugia bila kuangalia chanzo, inatakiwa kutibiwa chanzo cha tatizo sio matokeo ya tatizo ... na hamshangai dawa hiyo inaweza kumtibu mmoja na mwengine akasema haifanyi kazi ?? Unajua Kwanini... vyanzo vya matatizo yao ni tofauti
*Mfano ... mwanaume mwenye sukari , mwenye presha , mwenye kansa ya tezi , mwenye stress , mwenye unene uliopitiliza, watu Hawa lazma tiba zao ziwe tofauti sio dawa za nguvu za kiume moja kwa moja lazma kuanza na mzizi wa tatizo k**a ni mnene apunguze mwili , k**a anasukari atibie sukari kwanza*
BAADHI YA SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME (MUENDELEZO)
1. KUTOKUNYWA MAJI YA KUTOSHA
2. KUPATA CHOO KIGUMU AU KUTOPATA KABISA, UNATUMIA NGUVU NYINGI KWENYE KUSUKUMA
3. UZITO ULIOPITILIZA
4. KITAMBI
5. VYAKULA VYA BANDIA VILIVYOWEKWA HOMONI ZA K**E
6. VYAKULA VYENYE MAFUTA SANA
7. ULAJI WA NYAMA KWA SANA
9. ULAJI WA FAST FOODS NA VINYWAJI VYA VIWANDANI IKIWEPO POMBE
10. ULAJI WA MIRUNGI/ MIRAA
11. KUTOSHIRIKI MAZOEZI YA VIUNGO
12. KUTOKULA BALANCED DIET
13. KISUKARI
14. TEZI DUME
15. PRESHA na mengine mengi
**********************************************
JE WEWE NI MWANAUME NA YALIYOONGELEWA HAPO YAMEKUGUSA NA UNGEPENDA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA UKOSEFU AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME? TUNA HABARI NZURI KWAKO TUNA BIDHAA LISHE AMBAZO ZINASAIDIA KURUDISHA HESHIMA YAKO, K**A UKO SERIOUS KARIBU.
Tuma neno AFYA kwenda WhatsApp namba +255 655254512.. Sasa hivi usaidiwe mapema