
29/11/2022
*MAGONJWA MIFUPA NA MAUNGIO*
UTANGULIZI
Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko
ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa
tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.
Watu
wengi wanfikiri kwamba kufanya mazoezi ni hatari kwa afya ya joints lakini ukweli ni
kwamba ili kuepuka magonjwa ya joints mazoezi ni lazima katika akuongeza ufanisi wa
viungo pia.
Nina uhakika kuwa umewaona akina mama wenye umri mkubwa na miili mikubwa
wanavyopata shida kutembea huku wakiinama toka upande mmoja hadi mwingine kila
wakipiga hatua au shida wanayopata pale inapowabidi kupanda ngazi au kuchuchumaa.
Maneno k**a “ugonjwa wa kuumwa joints, nina tatizo la joints, maumivu ya joints” na
maumivu ya mifupa umeyasikia mara nyingi. Tatizo hili haswa hujulikana k**a
ugonjwa wa arthritis.
*ITAENDELEA* ....
KWA USHAURI NA TIBA ZISIZO NA KEMIKALI YOYOTE.
Simu namba 👉 0621281013