Hanif_supplements

Hanif_supplements Je unataka mwili wenye afya?

TUNAUZA protein supplements za kuongeza ukubwa wa mwili kwa wale wembamba Na Kupunguza Unene kwa wale wenye uzito mkubwa na Vitambi vikubwa.

🛑Hyperbolic mass ni mass gainer protein kwa ajili ya kujaza misuli haraka na kuongeza uzito wa mwili na pia inatengeza s...
13/11/2024

🛑Hyperbolic mass ni mass gainer protein kwa ajili ya kujaza misuli haraka na kuongeza uzito wa mwili na pia inatengeza shape kwa wanawake
🛑Hyperbolic mass ina sifa zifuatazo
âś…Protein 60gram
Ni kwa ajili ya kujenga misuli na kufanya misuli iwe imara
âś…calories 4871kJ
Ni njia nyepesi ya kuweza kufikia malengo ya calories kwa siku pia husaidia kuongeza uzito na kufanya mwili uwe mkubwa
âś…Carbs 210gram
Inaongeza uzito na kuongeza ukubwa wa mwili na kukupa nguvu muda wote
âś…Creabolic stack 8gram
Inasaidia katika kuongeza muscles na kuzipa nguvu za hali ya juu muscles zako

Russian bear âś…Protein115gramâś…Calories 1900âś…Fat 12gramâś…Carbs 330gramâś…Flavour chocolateSasa zinapatikana hanif supplements...
13/11/2024

Russian bear
âś…Protein115gram
âś…Calories 1900
âś…Fat 12gram
âś…Carbs 330gram
âś…Flavour chocolate

Sasa zinapatikana hanif supplements

Weka order yako sasa kupitia namba 0783 844 711

🛑On creatine ni monohydrate creatine ambayo immeboreshwa zaidi kwa kufanywa ni unga kabisa ambao unaweza kuchanganyika h...
13/04/2023

🛑On creatine ni monohydrate creatine ambayo immeboreshwa zaidi kwa kufanywa ni unga kabisa ambao unaweza kuchanganyika haraka kwenye kimiminika ndio ikapewa sifa ya micronized creatine
🛑Creatine Ni virutubisho ambavo hutumiwa na jinsia zote mbili na pia hutumiwa na watu wote wanaohitaji kujaa au kukata
🛑Creatine ni virutubisho ambavo vinapatikana kwenye nyama ambayo ni mkusanyiko wa amino acids tatu
L-arginine, glycine, and L-methionine
ambayo husaidia katika mambo yafuatayo

⏩inaongeza nguvu za muscles

⏩inajenga muscles

⏩inaondoa machofu na maumivu ya muscles

⏩inaongeza uwezo wa kubeba vyuma vizito zaidi

Mawasiliano 0783844711

Tupo mlandege zanzibar

Sehem za kupokea bidhaa zetu
1)Mlandege zanzibar
2)bandarini dar es salaam
3)Tunakuletea Nyumbani kwako (utachangia gharama za usafiri)

Be strong dont stop!

🛑Global pre-workout brand: Our original pre-workout that started it all - C4 Original is built to take your energy, musc...
12/04/2023

🛑Global pre-workout brand: Our original pre-workout that started it all - C4 Original is built to take your energy, muscular endurance, and pumps to the next level.

🛑Ranging from beginners all the way up to the elite competitors, C4 pre-workout products ignite your fitness journey. Based on IRI market and Euromonitor International data.

⏩EXPLOSIVE ENERGY — Take your training to the next level with explosive C4 Energy from 150mg of caffeine.

⏩MUSCULAR ENDURANCE — Power tough trainings with CarnoSyn® Beta-Alanine, which helps combat muscular fatigue and support muscular endurance

⏩INCREDIBLE FLAVORS — With billions of servings of C4 branded products sold, the C4 brand has been setting the standard for great flavor for over a decade.

⏩PUMP BOOSTER — Enhance your pumps via a unique patented combination of Creatine and Nitrates.

Contact us via 0783844711
Delivery option
1)Mlandege Zanzibar
2)bandarini dar es salaam posta
3)To your home (charges may apply)

Be strong dont stop!

🛑Lets do simple QUIZ🛑After Quiz lets do business You can buy 7kg atomic mass gainer bag at cheap price Contact us via 07...
08/04/2023

🛑Lets do simple QUIZ

🛑After Quiz lets do business
You can buy 7kg atomic mass gainer bag at cheap price

Contact us via 0783844711
Delivery option
1)Mlandege Zanzibar
2)bandarini dar es salaam posta
3)To your home (charges may apply)

Be strong dont stop!

🛑Save post hii ,share kwa wengine na bonyeza like🛑Vyakula vyenye calories nyingi vitakusaidia ww kujaa kwa haraka⏩Ndizi ...
27/03/2023

🛑Save post hii ,share kwa wengine na bonyeza like
🛑Vyakula vyenye calories nyingi vitakusaidia ww kujaa kwa haraka
⏩Ndizi ya wastani ina kilo calories 200
⏩Avocado nusu ina kilo calories 167
⏩Vijiko viwili vya siagi ya njugu/karanga ina kilo calories 190
⏩Tembe tembe nane ina kilo calories 160
⏩Vijiko viwili vya Chia seeds ina kilo calories 100
⏩Kiganja kimoja cha lozi ina kilo calories 162
⏩Kiazi kitamu kikubwa ina kilo calories 162

Andika neno "mass gainer " kupitia whatspp yetu 0783 844 711 tuweze kukusaidia kupata supplements nzuri ambayo itakuongeza uzito

Tupo Mlandege Zanzibar
Kwa Dar es salaam utapata bidhaa yako bandarini pia tunayohuduma ya kukuletea mpaka nyumbani

Supplements zipo za jumla na reja reja Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0783844711Tupo Mlandege ZanzibarTunatu...
24/03/2023

Supplements zipo za jumla na reja reja
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0783844711

Tupo
Mlandege Zanzibar
Tunatuma dar es salaam pamoja na mikoani

🛑Taratibu za kufata kipindi cha ramadhan kwa wanaotaka kujaza kwavile ramadhan unakaa muda mrefu bila ya kula fata utara...
22/03/2023

🛑Taratibu za kufata kipindi cha ramadhan kwa wanaotaka kujaza kwavile ramadhan unakaa muda mrefu bila ya kula fata utaratibu huu ili uweze kumaintain muscles na uzito wako usishuke

⏩punguza loads/punguza uzito unaobeba
K**a unapiga bench kilo 50 weka kilo 40
⏩Punguza reps
K**a unapiga reps 25 unaweza kupiga reps 20
⏩Punguza set
K**a unapiga set nne ,piga set tatu
⏩Punguza mazoezi kwa kila kiungo k**a unapiga mazoez matano kwa kila kiungo piga mazoezi matatu tu
⏩Punguza time ya kufanya mazoezi
K**a unafanya mazoezi masaa mawili fanya kwa saa moja tu inatosha kuweka mwili sawa ,
⏩Fanya mazoezi ukiwa huna njaa
Muda mzuri wa kufanya mazoezi ni alfajiri au baada ya futari mfano saa 2 au saa 3 usiku
⏩Usisahau kutumia mass gainer hii ni nyongeza ambayo itakusaidia ww kuweza ku maintain uzito wako kipindi hichi cha ramadhan

Andika neno "mass gainer " kupitia whatspp yetu 0783 844 711 tuweze kukusaidia kupata supplements nzuri ambayo itakuongeza uzito

🛑Save hii post hivi vitu vitakusaidia ukitaka kuanza kujenga misuli.⏩Fahamu kuwa inachukua muda!Inachukua mpaka  miezi m...
20/03/2023

🛑Save hii post hivi vitu vitakusaidia ukitaka kuanza kujenga misuli.

⏩Fahamu kuwa inachukua muda!
Inachukua mpaka miezi mitatu kuongeza kilo 10
⏩Breakfast ni muhimu sana kujenga misuli hivyo Hakikisha inakuwa na virutubisho muhimu.
Mfano uwanga ,fruti ,mbogamboga na protein
⏩Kula kila baada ya masaa matatu.
Milo mitatu mikubwa milo mitatu midogo(snacks)
⏩Ambatanisha chanzo cha protini kwenye kila chakula chako inasaidia sana kujenga misuli.
Mfano maziwa,mtindi ,mayai,korosho
⏩Jitahidi kula matunda na mbogamboga kwenye kila mlo wako.
⏩Kula vyakula vya uwanga (carbohydrates)baada ya Mazoezi yako.
Husaidia kurudisha nguvu kwenye mwili ili kuweza kujenga misuli haraka
⏩Kula vyanzo vya mafuta mazuri mwilini inasaidia kujenga misuli.
Mfano avocado ,olive oil
⏩Kunywa maji ya kutosha inasaidia kujenga misuli.
Lita tatu kwa siku
⏩Pumzika
Masaa manane usiku

Ukihitaji kuongeza speed ya kujenga mwili kirahisi tutumie ujumbe neno "mass gainer" kupitia whatsapp number 0783844711 uweze kujipatia kirutubisho hicho na elimu ya lishe

🛑Kila mfanya mazoezi na kila mpiga chuma anahitaji apate majibu ya haraka ,unapofanya mazoezi unavunja muscles unatengez...
18/03/2023

🛑Kila mfanya mazoezi na kila mpiga chuma anahitaji apate majibu ya haraka ,unapofanya mazoezi unavunja muscles unatengeza muscles nyengine za ziada ili hizi muscles za ziada zijengeke kwa haraka unahitaji kuziponesha kwa haraka
🛑Tumekuandalia njia 6 za kuponesha misuli ili misuli ipate ikue kwa haraka
⏩kukoga maji ya barafu kwa dakika kumi
⏩Pumzika kwa dakila kila baada ya session moja
⏩kujinyoosha kwa dakika 10
⏩Rudisha nguvu kwa kutumia protein powder
⏩Kukoga maji ya moto kwa dakika 15
⏩Kulala masaa manane usiku

Pia tunazo supplements kwa ajili ya recovery ya muscles ili zipate kujengeka vizuri ,tutumie ujumbe "AMINO" kupitia whatsapp namba 0783844711 ili tukushauri na kukupatia bidhaa hio tunatuma popote ulipo TANZANIA

Be strong dont stop

🛑DONDOO 5 ZA MAZOEZI UNAZOTAKIWA KUZIJUA⏩Pika 80% ya milo yakoUnahitajika kuandaa chakula chako mwenyewe ili kuweza kuju...
13/03/2023

🛑DONDOO 5 ZA MAZOEZI UNAZOTAKIWA KUZIJUA
⏩Pika 80% ya milo yako
Unahitajika kuandaa chakula chako mwenyewe ili kuweza kujua unaandaa kwa formula gani kwasababu kuna watu wanatumia milo ya kukata na kuna watu wanatumia milo ya kujaza ,usipendelee kutumia vyakula vya mamantilie au mkawahani kwasababu hujui wameweka mafuta kiasi gani ?wameandaa vipi ?
⏩Kunywa maji mengi
Ili mwili ujengeke vizuri unahitajika kunywa maji mengi kwasababu unapofanya mazoezi unaondoa maji mwilini kwa njia ya majasho ,maji ni dawa, maji ni kinga ya maradhi mingi, maji ni uhai ,kunywa maji kwa afya yako
⏩Panga mazoezi yako na milo yako
Hapa ndio watu wengi wanafeli wanadhani kupiga chuma ni kuingia gym kupiga chest na mkono ndio atajaa hazingatii formula ya mazoezi wala hazingatii chakula anachokula ,haipo ivo ili ufikie malengo yako lazima uzingatie ratiba ya mazoezi na nini unakula pia ,mwili unajengwa jikoni kwa asilimia kubwa na sio gym
⏩Kujinyoosha kwa wiki mara mbili au tatu
Unapofanya mazoezi unachosha misuli kwaio ili misuli ujengeke vizuri unatakiwa kujinyoosha ili kuondoa injury ndogo ndogo (kuumia kwa misuli)
⏩Lala masaa manane usiku
Usingizi ni best recovery method ni njia nzuri sana ya kuponesha misuli kwa haraka na kufanya ijengeke kwa haraka

Be strong ,Dont stop

Address

Zanzibar

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255783844711

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hanif_supplements posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share