11/01/2023
TAMBUA MAANA YA ALAMA ZA KWENYE KIGANJA CHAKO
1.KUHUSU PESA ZA FAMILIA(URITHI)
Pesa ya kurithi inawakilishwa na mstari mdogo kati ya kidole chako kidogo na kidole chako cha pete. Ikiwa una mstari uwo mdogo kati ya kidole chako kidogo na kidole cha pete ndio tunaita mstari wa 'Pesa za Familia au urithi. Utatakiwa utegemee kuwa utapata pesa za urithi wakati fulani maishani mwako. Lakini siwezi kusema ni lini. Labda siku moja kitu kitakuja kwako. Watu wachache sana wana hizi, kwani wengi wetu tunapaswa kuweka bidii kwa kutafuta pesa zetu. Unapaswa: Usitegemee kabisa fursa ambapo ungerithi pesa. Daima ni vizuri kupambana wewe k**a wewe, fanya kazi kwa njia yako ya kupata pesa. Na wakati huo huo ikiwa utarithi baadhi, itakuwa faida ya ziada kwa maisha yako.
K**a huna Mstari wa Pesa za Familia'- sioni uwezekano wa wewe kupata pesa za urithi kutoka kwa mtu. Watu wachache sana wana hizi alama k**a nlivosema, kwani wengi wetu tunapaswa kuweka bidii kwa kutafuta pesa zetu. Pesa zote katika maisha yako zitapatikana na wewe tu. Unapaswa kupigania mambo kwa mikono yako mwenyewe na kuanza kufanya kazi kuelekea lengo lako.
0673456985 call/sms/whatsapp
+255673456985