Virutubisho Lishe

Virutubisho Lishe Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Virutubisho Lishe, Weight Loss Center, Zanzibar.

Virutubisho Lishe
KARIBU TUKUSAIDIE :-
1) Kuondoa kitambi, Uzito na nyama uzembe kwa siku 9 - 24.
2) Kutatua changamoto ya Mfumo wa Uzazi kwa wanaume.
3) Kupambana na Maradhi yasiyoambikiza

Contact:
# Simu : 0679 106 650
# Instagram: virutubishi2024

07/05/2025

Safisha Utumbo kwani afya ya Utumbo ndio chanzo cha afya ya mwili mzima. Contact: 0679 106 650

Bawasili ni changamoto kubwa katika jamii yetu. Hata hivyo, inaepukika na pia inatibika. Tuwasiliane kupitia 0679 106 65...
05/05/2025

Bawasili ni changamoto kubwa katika jamii yetu. Hata hivyo, inaepukika na pia inatibika. Tuwasiliane kupitia 0679 106 650 nikusaidie kupambana nayo!!

Changamoto ya Gesi Tumboni imekua Tatizo kubwa katika jamii. Jitahidi kuliepuka. Nipigie nikuelekeze namna Bora ya kupam...
03/05/2025

Changamoto ya Gesi Tumboni imekua Tatizo kubwa katika jamii. Jitahidi kuliepuka. Nipigie nikuelekeze namna Bora ya kupambana nayo.

02/05/2025

Kutopata choo vizuri inaweza kuathiri Afya ya mwili mzima.

Safisha Utumbo kwa kutumia virutubishi lishe. Imarisha Afya yako!!
01/05/2025

Safisha Utumbo kwa kutumia virutubishi lishe. Imarisha Afya yako!!

Safisha Utumbo ili mmeng'enyo wa chakula ufanyike vizuri zaidi.
01/05/2025

Safisha Utumbo ili mmeng'enyo wa chakula ufanyike vizuri zaidi.

1. Zinc (Zinki).Ni madini muhimu yenye kusaidia katika uzalishaji wa homoni ya testosterone. Pia huhusiana na ubora wa m...
15/04/2025

1. Zinc (Zinki).

Ni madini muhimu yenye kusaidia katika uzalishaji wa homoni ya testosterone. Pia huhusiana na ubora wa mbegu za kiume (s***m quality).Vyakula vyenye zinc kwa wingi ni pamoja na:-

√ Wanyama.
Vyakula vya baharini, kuku na bata, mayai, maini, maziwa na bidhaa zake na nyama nyekundu.

√ Mimea
Mbegu/kokwa za boga na alizeti, karanga, korosho, lozi, maharage, n**i n.k

11/04/2025

Kupata elimu na Ushauri.

Ili kudhibiti Uzito ni lazima kupata Taaluma, UjuI na Ushauri juu ya Uzito hususan kuhusu Chanzo, Dalili, Athari na pia Njia za kuepuka au kuondoa Uzito. Hii ikiwa ni pamoja na kupata Taaluma kwenye Ukurasa huu.

Send a message to learn more

Kudhibiti msongo wa mawazo (stress)Msongo wa mawazo unaweza kusababisha kula kupita kiasi, kuchagua vyakula visivyofaa k...
11/04/2025

Kudhibiti msongo wa mawazo (stress)
Msongo wa mawazo unaweza kusababisha kula kupita kiasi, kuchagua vyakula visivyofaa kiafya na pia kuathiri mfumo wa homoni unaohisiana na njaa na hamu ya kula.
Miongoni mwa mambo ya kudhibiti msongo wa mawazo ni pamoja na Kupumua pumzi ndefu na kuziachia taratibu ilhali umefumba macho, kufanya Yoga, na kutembelea fukwe, mbuga, msitu, michezo n.k.

Kulala kwa muda wa kutoshaKwa mtu mzima kulala masaa 6 - 8 kwa siku huweza kurekebisha Uzito wa mwili, kwani ukosefu wa ...
11/04/2025

Kulala kwa muda wa kutosha

Kwa mtu mzima kulala masaa 6 - 8 kwa siku huweza kurekebisha Uzito wa mwili, kwani ukosefu wa usingizi huongeza hamu ya kula, hasa vyakula vya mafuta na sukari

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Virutubisho Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Virutubisho Lishe:

Share