8 NYOTA ZENU 8

8 NYOTA ZENU 8 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from 8 NYOTA ZENU 8, Doctor, kidongo chekundu zanzibar, Zanzibar.

Naam8 assalamu alaykum ndugu zangu kile kitabu cha waliokuja nayo haaruti na maaruti kiko tayar unaeeza kuangalia yaliom...
23/11/2024

Naam8 assalamu alaykum ndugu zangu kile kitabu cha waliokuja nayo haaruti na maaruti kiko tayar unaeeza kuangalia yaliomo ni cha kiswahili na rahisi kwa matumizi wasiliana nasi kwa namba
+255 716 0716 122 747

KUJIKINGA NA  NA JINI NA KUJIFUNGA MWILINaam utakapo hitaji kujikinga na jinni na kuufunga mwili wako dhidi ya wadudu wa...
03/04/2024

KUJIKINGA NA NA JINI NA KUJIFUNGA MWILI
Naam utakapo hitaji kujikinga na jinni na kuufunga mwili wako dhidi ya wadudu wabaya fuata maelekezo haya kwa umakini na kwa usahihi
Naam8 utakapo hitaji kujikinga mwili wako dhidi ya majinni wabaya na mashaitwani ili wasiweze kukudhuru au kukupata kwa vyovyote vile
Labda k**a mtu hua ana kawaida ya kusumbuliwa na wachawi usiku au hata kawaida au labda amesha teswa sana na kurogwa na wachawi au anamajini yanamsumbua kila uchao nae anahitaji kufikia ukomo wa matatizo yake hayo fanya dawa hii utajikinga nao ni dawa rahisi na nyepesi isio na mambomengi na kwa kufanya kwa usahihi dawa hii utakua umejikinga na majini wabaya na wachawi
Unatakiwa utafute unga wa ndere kiasi kidogo tu ni ule unga mweupe unao patikana diningi {kumzim ya wachawi} na baada ya kukusanya huo unga changanya na asali mbichi ya nyuki na baada ya kuchanganya kwa pamoja michanga nyiko hiyo yote utatakiwa kumchanja kwa kutumia wembe mpya sehem 7 za mwili
Juu ya kidole gumba cha mguu wa kulia na kushote
Juu ya kiganja kwenye sehem ya kiungo kwa mikono yote
Na juu ya mabega pande zote kwenye kikomo

naam8 kwa mawasiliano zaidi piga sim namba
0716 122747

23/03/2024

naam8 habari zenu ndugu zangu niwatakie ramadhan karimu

06/09/2023

Naam8 assalamu alykum ndugu zangu
mnaendeleaje ndugu zangu nimerejea
kwa mwenye shida yake anaweza kuwasiliana na mimi 0716122747

27/04/2023

Address

Kidongo Chekundu Zanzibar
Zanzibar

Telephone

+255716122747

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 8 NYOTA ZENU 8 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to 8 NYOTA ZENU 8:

Share

Category