Munaashid Herbs

Munaashid Herbs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Munaashid Herbs, Medical and health, Zanzibar.

karibu ktk ukurasa masuala ya afya, utapata tiba za maradhi mbali mbali, kwa kutumia mitishamba, utapata kujifunza tiba na kupata ushauri, lakini vile vile tuna dawa zitokanazo na mitishamba zisizo na kemikali kwa kutibu maradha mbali mbali.

TIBA YA HEDHI ISIYOKATA. HEDHI ISIYOKOMA SABABU NA TIBA YAKESHIDA, MARADHI YA HEDHI ISIYOKOMA 'ISIYOKATA'KILA mwanamke a...
03/07/2023

TIBA YA HEDHI ISIYOKATA. HEDHI ISIYOKOMA SABABU NA TIBA YAKE

SHIDA, MARADHI YA HEDHI ISIYOKOMA 'ISIYOKATA'

KILA mwanamke aliyefikua baleghe yampasa kumpaka hedhi mara moja kwa kwa mwezi. Ndio wajibu na ndio mfumo wa afya ya uzazi ulivyo. Wapo wanenda mara mbili ndnai ya mwez mmoja ila unachotakiwa ni kuzijua siku zako za kwenda hedhi wakati mwingine huo mwez utakuta na mkubwa bimaana unas iku nyingi kuliko mzunguko wako wa hedhi.

Wapo mizunguko yao siku 25 wapo wengine 23 wapo wengine 27 nk. Mfano huyu mwenye mzunguko wa siku 23 halaf ikwa hedhi yake anakwenda siku tatu tu anakata. Ikitoke kaanza kupata hedhi tarehe moja mwezi kimahesab atamaliza tarehe tatu ya mwez ukijumlisha mzunguko wake ambao ni siku 23 basi unapata siku 26 huyu ana weza akaenda hhedhi mara mbili ndanu ya mwez ila mzunguko wake upo vile vile haujaharibika ni wala si tatizo.

Hii huwatokea sana waliotoka kuzaa halaf hawaon hedhi labda miez saba nane mwaka wengine mpaka mtoto atembee wakija kuanza kupata hedhi huwasumbua na ratiba hubadilika huwa si ile ya awali. Huo ni utangulizi makala haya yatajika katika watu ambao hedhi zao hazikati yaan wenda hedhi mwezi mzima au siku 14 na kundelea.

Kiawaida siku za kwenda hedhi wanawake hupishana kutokana mfumo wa mtu wa uzazi pia na hommon. Kimakadirio hedhi huendwa siku tatu mpaka saba. Ila wapo wanaopitiliza kutokana na sababu za umri mkubwa uzazi ama kuhama mazingira hili hiwa si tatzo na hata ikipitiliza huwa haimalizi wiki mbili ukiona yapita hapo ujue kuna shida pahala.

Kuna sababu nyingi zinazosababisha mwanamke hedhi kutokana. Hapa nitaziongelea kwa uchache ili tufuposhe maneno kuwa mengi. Sababu kubwa huwa ni matumizi ya njia za uzazi za kisasa, hili nilishazungumza sana waelewa wataelewa wasioelewa subirin yawakute makubwa. Sababu nyingine ni hommon kutokaa sawa, uvimbe kwenye kizazi ambayo pia asili yake guwa ni dawa za njia za uzazi wa mpango. Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi ama kuharibika. Pia dalili za saratan ya kizazi huanza kwa hedhi kutoka mfululizo.

Hizo ni baadhi ya sababu za kidaktali ama waswahili tunasema sababu za kizungu. Lakini pia zipo sababu za mambo asili mfano wa sababu ni chango yapo machango yakwenda bleed mfululizo. Vipo vifungo vya uzazi mtu waweza fungwa ili bleed itoke tu mfululizo usiweze kubeba mimba. Lakini pia zipo adhabu mfano umeiba mume wa mtu ama umemkera mtu aweza kukuadhibu kwa kukuchezea hedhi yako na hapa utameza kila dawa za kizungu hutapata majibu mpaka kiteguliwe kilichotendwa.

Hapa nitaeleza njia nne ama dawa nne k**a una tatizo hilo angalia njia rahisi kwako ikiwa tatizo ni la muda mrefu na umeshatumia saana dawa jua kuna sababu nyingine zipo hivyo fika kwa wataalam karibu nawe upate usaidizi msaada kiofisi mwisho wa makala kuna namba zangu.

NJIA YA KWANZA MAZIWA FRESH

Upate maziwa fresh ya ng'ombe sio ya unga ni frehs chemsha yachemke haswa

Utaweka kijiko kidogo cha unga wa khardali na kijiko kidogo cha mbegu ya hulba. Maziwa yawe gram 500 ama nusu lita kisha weka hivyo vitu kwa ujazo uliotajwa acha k**a dakika tano kisha kunywa maziwa yote fanya mara mbili kwa siku mpaka utakapoona imekata.

Vitu vilivyotajwa vinapatikana maduka ya dawa asili. Fika duka lolote liliopo maeneo ya karibu unapoishi. K**a si mnywaji wq maziww basi upate uji wa ngano iliyosagwa.

NJIA YA PILI MAUA YA MTI WA MREHANI

NI kivumbasi kile kidogo sana huwa hakikui kikubwa na huwa na maua. Utachukua maua ya mrehani kiasi cha kiganja chako na mizizi saba chemsha kwenye maji milimita 800 acha ichemke mpaka maji yapungue kisha utatumia kwa kunywa ujazo kikombe kidogo cha chai mara mbili kwa siku.

Hii inasaidia hata nyonga zinazouma wakati ukiwa kwenye hedhi. Mti huu hupatikana sana maporini hasa maeneo ya makaburi ni mti mdogo ukiufikisha hutoa harufu.

NJIA YA TATU MIZIZI YA MTI WA MVUJE

Utachukua mizizi minne ya nchani ya mvuje na mizizi mitatu ya mnuka uvundo ama mkunde pori au muinga jini. Utachemsha na matumizi yake ni kunywa kikombe cha chai wakati unachemsha ifunge k**a mzigo wa kuni tumia kamba ya mgomba.

NJIA YA NNE TANGAWIZI MBICHI

Tangawizi ni funguo ya hedhi hii hutumika hata hedhi isiyotoka yaani mtu ambaye haoati hedhi ila tatizo lisiwe limiiingiliana na vifungo na husda na mambo mingine.

Matumizi kwa hedhi isiyokoma andaa maji lita moja kwenye chombo kisafi saga tangawizi za kutosha mpaka maji yavurugike yawe k**a machafu weka na pilipili manga 'pilipili mtama' ya unga vijiko viwili vya chakula chemsha hadi maji yapungue kufikia nusu lita kisha chukua kiasi cha kikombe kimoja cha chai kunywa mara tatu kwa siku ikikupenda matokeo ni siku moja tu.

Kwa hedhi isiyotoka fuata utaratibu huo huo ila usiweka pililpili manga inywewe kavu kavu.

Pia unaweza kutumiza mziwaziwa chemsha majani na mzizi wake kunywa, pia k**a utapata s**i ya tufaha pia waweza kuweka kijiko kidogo kwenye glass ya maji ya vuguvugu pia husaidia kurekebisha mirija inayoanza kuziba.

0767979720 call/sms/whatsapp
+255767979720

TIBA TOFAUTI HIZI1) PRESHA YA JUU ( MIWA) Chemsha mizizi ya miwa na utumie asubuhi na jioni siku 3Pia muwa JUIS yake hus...
27/07/2019

TIBA TOFAUTI HIZI

1) PRESHA YA JUU ( MIWA)
Chemsha mizizi ya miwa na utumie asubuhi na jioni siku 3
Pia muwa JUIS yake husafisha macho yako na mkojo pia huondoa athari za ugonjwa wa manjano

2)ASIYEONA VIZURI (MPARACHICHI)
Majani ya mparachichi yakichemsha na kunywewa kwa asieona vyema husaidia kurudisha nuru ya macho pia humsaidia anaepata maumivu WAKATI wa hedhi YAKE.

3) ASIEONA VIZURI SHIDA YA KUONA MBALI PAMOJA NA KUSOMA KWA TAABU

(Karoti)
Ale mwenye SHIDA hiyo karoti yenye urefu wa nchi tano MOJA asubuhi na MOJA jioni hiyo SHIDA Mungu atamsaidia macho yatakuwa na nguvu km mwanzo.

4)KIKOJOZI MTOTO (MAHINDI)
Mmea wa mahindi ukimchemshia mtoto mwenye hiyo SHIDA zile ndevu zake ( U*i U*i wa Hindi) ataacha kukojoa kitandani

5)MALARIA (MDIMU)
Chukua MATUNDA ya mmea huu kati ya matatu , matano hadi saba uweke ktk MAJI ya dafu na unywe glas 1×2 pia matunda YAKE hutumika kuondosha sumsum mwilini mauwa YAKE ni dawa ya fangas na mba , mapunye

6)TATIZO LA KUMBU KUMBU (Memory)
Tatizo hili huwapata wenye umri mkubwa hata watoto wenye tatizo hili watatibiwa kwa MATUNDA ya Mzabibu chukua zabibu kavu nyeusi utafune punje 7 × 3 hadi ukae sawa

7)KICHEFU CHEFU (HILIKI)
Chemsha hiliki na utumie kikombe cha kahawa mtoto Mpe kwa kukadiria kijiko na mfano wa hayo kwani ni CHAKULA tu iliki pia inatibu kikamilifu maumivu ya TUMBO

8) KINGULIA (NYANYA ) Mwenye shida ya kiungulia ale nyanya moja asubuhi moja mchana na jioni siku 3 hiyo shida itaisha kabisa.

9)KUUMWA JINO ( MKOROSHO)
Mmea huu ukichemsha magome yake pamoja na majani ya mpera hutibu maumivu ya JINO na kuyaondosha kabisa.

10)CHUNUSI MADOA YATOKAYO KTK USO
(MDALASINI)
Magome ya mdalasini unga wake yakichanganywa na asali na kupakwa k**a mask na uoshe kwa MAJI vugu baada ya nusu saa huondoa hiyo shida Fanya kwa wiki Mara 3

Ushauri ILI kuupatia mwili wako KINGA ya magonjwa pamoja na kufanya MWILI kubaki kuwa na nguvu ya asili acha au punguza baadhi ya tabia

1) usipendelee vyakula vyenye mafuta mengi hii husababisha baadae magonjwa ya moyo kwa sababu mafuta ya viwanda huganda na kubakia taka ZAKE mwilini pia magonjwa ya kupooza nk
Nb ukiona mkeo anaunga chakula kwa mafuta kede kede endelea kumsifu anajua kuunga rosti anakumaliza ktk utendaji wa kitanda kisha atakulaumu (unasinyaa sinyaa)kumbe chanzo ni yeye bila kijua

2)usipendekee kula vyakula vilivyokobolea sana km mahindi nk na unajifanya kuwa km kule shamba wewe lazima ukakoboe machine kwani unajiweza kipato huwezi kula ugali mweusi(dona) kumbe anakushinda HATA mdudu panya panya akila Hindi huchagua faida tupu ktk Hindi hula ngozi ya Hindi na kiini na ndivyo vyenye faida na lishe bora ambayo wewe unavitupa ktk kukoboa hiyo
nafaka.

3) usipendelee kunywa MAJI Mara tu baada ya mlo au katikati ya mlo labda kwa dharula kwani utajisababishia magonjwa ya gesi kutokupata choo vyema (choo kigumu ) hatimae bawasiri na udhaifu wa nguvu zakiume.

TIBA KWA KUTUMIA KARAFUUkarafuu ni miongoni mwa kiungo cha chakula na dawa mbali mbali karafuu inajulikana ulimwenguni k...
16/07/2019

TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU

karafuu ni miongoni mwa kiungo cha chakula na dawa mbali mbali karafuu inajulikana ulimwenguni kwa tiba magonjwa mbali mbali.

Magonjwa hayo ni kutoa gesi tumboni, tatizo la mmeng'enyo.kutapika, na matatizo katika meno.

JITIBU KWA KUTUMIA KARAFUU

Matatizo katika misuli
ya mikono na miguu.

ya viungo.
.

Tumia mafuta ya karafuu kwa kuchulia sehemu yenye matatizo.


Chukua karafuu weka kwenye maji chemsha kunywa kuharisha kutaisha



tafuna punje za karafuu tatu kichefuchefu kitaisha.



Sukutua maji ya uvugu vugu yalichemshwa na karafuu.

YA KICHWA.(kipanda USO)

Chukua mafuta ya karafuu changanya na chumvi ya mawe kidogo kisha pakaa kichwan sehemu inayouma. Maumivu yata kata.

LILILOTOBOKA:

chukua pamba weka ktk mafuta ya karafuu kisha weka kwenye jino lililotoboka ukiweka iyo pamba s**ilizia k**a dakika 30 ndo uitoe Fanya ivyo kwa wiki mala 3 utaona matokeo mazuri inshaallah



kunywa maji yaliyochemshwa na karafuu na binzari Nene (,shomari,) kikombe 1x,2 kwa siku kwa muda wa siku 3

Karafuu inatibu magonjwa mengi sana kwa uwezo wa Allah

kwa upande wa mafuta ya karafuu yawe original..
0744 426434

Address

Zanzibar

Telephone

+255767979720

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Munaashid Herbs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Munaashid Herbs:

Share