Zanzibar Health Supplements Agent

Zanzibar Health Supplements Agent Tunasaidia kuonesha umuhimu wa kutumia virutubisho kwenye maisha ya kila siku.

Je , wewe unapitia changamoto zinazohusiana na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula....Kwa mfano vidonda vya tumbo , tumbo kuw...
30/06/2024

Je , wewe unapitia changamoto zinazohusiana na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula....Kwa mfano vidonda vya tumbo , tumbo kuwaka moto , acidity nyingi , kutokupata choo , kuwa na gas nyingi na mengineyo mfano wa hayo ...njoo tukusaidie kwa kukupatia lishe ambazo zitaenda kuweka sawafumo wako na kuimarisha afya yako kwa ujumla.

Kwa uhitaji wa huduma zetu na ushauri tupigie au tuma ujumbe kwa wasap +255776305378.

Sio fedheha kuelezea changamoto unayopitia kiafya .....Bawasili ni moja ya tatizo la kiafya ambalo wengi huogopa kujiele...
30/06/2024

Sio fedheha kuelezea changamoto unayopitia kiafya .....Bawasili ni moja ya tatizo la kiafya ambalo wengi huogopa kujielezea na kuendelea kulipa nafasi ya kunawiri na kuwa sugu miilini mwao.

Usiogope kutuelezea tatizo lako maana turakushauri kutumia na kupata lishe ambazo ,zimethibitishwa kwa watumiaji wengine kuwa zinasaidia kukuondolea fedheha ya tatizo la bawasili.

Kwa ushauri wa kiafya na kujitibia wasiliana nasi kwa kupiga au kutuma ujumbe whatsapp +255776305378.

Huuu ndio ukweli usioambiwa ,,,,,  Unene na uzito uliopitiliza ni jumba la maradhi.....Je upo tayari uwe jumba la maradh...
30/06/2024

Huuu ndio ukweli usioambiwa ,,,,, Unene na uzito uliopitiliza ni jumba la maradhi.....Je upo tayari uwe jumba la maradhi....!!!? K**a hapana njoo tulushauri namna bora ya kupunguza uzito bila ya kuathiri afya yako.

Kwa ushauri na kupata huduma zetu za afya .... tupigie au tuma ujumbe whatsap kwa +255776305378.

Mteja wetu kutoka Zanzibar.....Ameshapackiwa tayari lishe zake alizohitajia kuzipata vizuri kabisa......kwa ajili ya kut...
30/06/2024

Mteja wetu kutoka Zanzibar.....Ameshapackiwa tayari lishe zake alizohitajia kuzipata vizuri kabisa......kwa ajili ya kutumiwa.

Kumbuka popote ulipo Tanzania , Zanzibar , Na duniani kote huduma za lishe zetu zitakufikia tu.

Kwa ushauri na namma ya kupata bidhas zetu tupigie au tuma ujumbe wasap kupitia +255776305378.

Inawezekana wewe ukawa ni moja ya wanaume ambao wanapenda umaridadi mara ti baada ya kujinyoa , Hiii ni package ambayo i...
30/06/2024

Inawezekana wewe ukawa ni moja ya wanaume ambao wanapenda umaridadi mara ti baada ya kujinyoa , Hiii ni package ambayo inasaidia kuipa ngozi muonekano mzuri usiokuwa na mikwaruzo baada ya kujinyoa ndevu.

Na zote hizo ni bidhaa za ngozi salama kwa afya ya ngozi.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au tuma ujumbe whatsapo kwa +255776305378.

Hivi unafahamu kwamba , kuwa na sumu nyingi mwilini kunaweza kusababusha mifumo mingi sana mwilini kutokuwa sawa , ukiwe...
30/06/2024

Hivi unafahamu kwamba , kuwa na sumu nyingi mwilini kunaweza kusababusha mifumo mingi sana mwilini kutokuwa sawa , ukiwemo mfumo wa uzazi , mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na mingi mingine.

Na ikiwa hivyo hautaweza kupata suluhu ya changamoto hizo unazozipitia bila ya KUCLEANSE mwili wako au kusafisha mwili wako.

Tunayo program nzuri sana kwa wale wote ambao wanajitajia kutoa sumu mwilini , hiii ni program ambayo inakusafisha kutoa sumu mwilini na pia inakuingizia mwilini lishe kwa kuimarisha mifumo iliyokuwa haipo sawa.

Ona hapo ni shuhuda ya dada aliesafisha na hatimae amepata ujauzito.

Kwa ushauri wa afya na kupata huduma zetun, tupigie au tuma ujumbe Whatsapp kwa +255776305378.

Kila mfumo wa mwili wako , Unahitajia madini au virutubisho fulani ili kufanya kazi vizuri.Mifupa na viungio ni moja ya ...
30/06/2024

Kila mfumo wa mwili wako , Unahitajia madini au virutubisho fulani ili kufanya kazi vizuri.

Mifupa na viungio ni moja ya sehemu za mwili muhimu sana kwa binaadamu kwani , hizi ndio hutuwezesha kutembea , kukaa kitako , kusimama na kufanya movement nyingi sana.

Kadri unavyozeeka kuna madini na virutubisho unavyovipoteza mwilini mwako na pengine usivipate kwa kutumia chakula k**a chakula bali inabidi utumie lishe maalum.

Lishe iliyopo hapo juu inaweza kutumiwa na ambae anamatatizo ya mifupa na viungio lakini pia hata yule ambae hana matatizo ya mifupa na viungio ila tu anahitajia kuendelea kuilinda afya yake kwa maisha ya baadae.

Kwa mahitaji ya ushauri na huduma za afya kupitia lishe tupigie au tuma ujumbe whatsapp +255776305378.

Urembo wa mwili wako unaanzia na Ngozi , jinsi inavyoonekana ngozi yako ya mwili inakupa Amani ya kuendelea kubakia nayo...
30/06/2024

Urembo wa mwili wako unaanzia na Ngozi , jinsi inavyoonekana ngozi yako ya mwili inakupa Amani ya kuendelea kubakia nayo au haikupi amani.

Watu wengi wanaharibu ngozi zao kwa kutumia vipodoz vyenye chemicals ambazo baada ya muda fulani huleta athari kubwa mwilini.

K**a wewe ni moja ya watu wanaotafuta bidhaa za ngozi salama kwa afya yakk , basi bidhaa sisi tunazo bidhaa nyingi za kuhudumia ngozi yako.

Na utashauriwa nini utumke kulingana na Aina ya ngizi yako.

Kwa ushauri na kupata huduma kwetu wasiliana nasi kwa kupiga au kutuma ujumbe Whatsapp kwa +255776305378.

Asante mteja wetu pendwa ulietuamini......Boda boda akiwa kwente harakati za kufikisha bidhaa za mteja wetu.Kumbuka k**a...
30/06/2024

Asante mteja wetu pendwa ulietuamini......Boda boda akiwa kwente harakati za kufikisha bidhaa za mteja wetu.

Kumbuka k**a upo daresalam , Unaweza kufika ofisini au ukaletewa , K**a upo Zanzibar au Mikoani unatumiwa Mzigo wako na utakufika kwa usalama na uaminifu mkubwa sana.

Karibuni nyote kwa huduma za Afya kwa kutumia lishe wasiliana nami kwa +255776305378.

Huwezi kuelewa mateso ya kukosa nguvu za kiume hadi pale , siku upo na mwanamke kwa ajili ya Mechi alafu , mchezo huuwez...
30/06/2024

Huwezi kuelewa mateso ya kukosa nguvu za kiume hadi pale , siku upo na mwanamke kwa ajili ya Mechi alafu , mchezo huuwezi kuucheza inaumiza sana na inatia mawazo ya kudumu.

Sio kuwa nguvu za kiume hazitibiki , hamna isipokuwa namna tunavyojitibia wanaume wengi nguvu za kiume sio namna sahihi.......Na ndio maana badala ya kutibu unajikuta unazidisha tatizo likuwe hadi unakata tamaaa.

Kwa maelezo zaidi ya jinsi gani unaweza kujitibia kwa kutumia lishe basi nipigie au nitumie ujumbe whatsapp +255776305378.

Hivi ndivyo tunavyopokea shukurani kwa wale wanaoamini kwamba , Lishe ndio kiboko ya kuweka sawa mifumo yote mwilini.......
26/06/2024

Hivi ndivyo tunavyopokea shukurani kwa wale wanaoamini kwamba , Lishe ndio kiboko ya kuweka sawa mifumo yote mwilini......Tufikie tukuhudumie kwa upendo kabisa.

Piga / Tuma ujumbe 0776305378.

Asante kwa kutuamini ....Mzigo ukielekea mkoa wa Mwanza.....Popote ulipo utapata huduma zetu.Njoo inbox nieleze unasumbu...
26/06/2024

Asante kwa kutuamini ....Mzigo ukielekea mkoa wa Mwanza.....Popote ulipo utapata huduma zetu.
Njoo inbox nieleze unasumbuliwa na nini tutakushauri kutimia lishe zitakazosaidia kukupa uimara wa afya yako ............Amini usiamini lishe ndio mkombozi wa afya yako hakika.

Address

Zanzibar
72111

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Health Supplements Agent posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram