20/02/2022
*HORMONE IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMON)*
Hili ni tatizo linalo wakumba wakina mama (wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya *ESTROGEN*
*VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HOMON*
👉Utoaji wa mimba
👉Uwepo wa sumu mwilin
👉Kutokula mlo ulio kamili au mfumo mbovu wa chakula
👉 Family history(upungufu wa hormone progesterone)
👉Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
👉Uzito mkubwa
👉Msongo wa mawazo
👉 Kutofanya mazoezi
👉Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
👉Kukomaa kwa hedhi
*DALILI ZA KUVURUGIKA KWA HOMON*
âś…Maumivu wakati wa tendo la ndoa
âś…Kutoshika mimba
âś… Mzunguko wa hedhi kubadilika
âś…Kuongezeka uzito
âś…Kupungua hamu ya tendo la ndoa
âś…Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoka damu yenye mabonge mabonge
âś…Uke kua mkavu
âś…Kutokwa na jasho jingi usiku
âś… Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
âś…Mzio wa vyakula/allergy kuchagua chagua vyakula
*MADHARA YA KUVURUGIKA KWA HOMON*
➡️kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
➡️Mimba kuharibika mara kwa mara
➡️Kua mgumba
➡️U T I za mara kwa mara
➡️ Uvimbe kwenye via vya uzazi (fibroids)
➡️Kuziba kwa mirija ya uzazi
➡️ Saratani ya kizazi
Hormone imbalance inatibika, ondoa shaka.