17/10/2015
Asalamu Alaykum?
Leo nipo kuwaletea hii
INDIGETION
Sababu kuu inayofanya chakula kishindwe kuyeyushwa ndani ya tumbo hadi kuwa chanzo cha matatizo mbalimbali ni:-
* Kula kupita kiasi.
* Kula mara kwa mara.
* Kula kwa haraka bila kutafuna sawasawa.
* Kutokuwa na muda maalum wa chakula.
* Ulaji wa chakula kisichofaa.
* Kula wakati hukutulia kiakili.
Hivyo ndg yangu wakati unapogundua dalili hizi zifuatazo hapa chini basi elewa ktk tumboni mwako hampo sawa ni vyema kuanza tiba.
• Kuumwa na tumbo.
• Kichefuchefu.
• Kutoa hewa chafu kila mara a.k.a kushuta au kujamba.
• Kiungulia.
• Tumbo kujaa hewa.
• Tumbo la kuhara.
TIBA ZAKE:-
1. Chukua juice ya ndimu kijiko kimoja cha chakula changanya na kijiko k**a hicho cha juice ya tangawizi kisha kunywa kutwa mara tatu siku 3-5.
2. Chukua punje 20 za kitunguu thoum saga vidhuuuri kisha ongeza maziwa fresh nusu glasi,koroga vidhuuuri kisha tunza ndani ya friji kiasi robo saa. Kisha uwe unakunywa vijiko viwili vya chakula kila baada ya mlo mkuu.
3. Chukua jani la Aloevera likate nusu futi halafu kata vipande vidogo vidogo na uwe ukila k**a kachumbari.
In shaa Allah Biidhnillah kuna kupona.
www.adiafiqy.blogspot.com.