Nevet Counseling Center

Nevet Counseling Center Nevet Counseling Center is a ministry of Holy Cross Lutheran and Umoja Church Dallas. We provide our services in both English and Swahili.

Our mission is promote awareness, growth, and wellness through professional counseling and mental health education. Nevet Counseling Center is an outreach of Holy Cross Lutheran and Umoja Church Dallas. We provide professional and faith based counseling in English and Swahili to individuals, families, couples, and groups.

Unyanyasaji (abuse) kwenye mahusiano
02/28/2026

Unyanyasaji (abuse) kwenye mahusiano

Video hii ni ya kwanza kwenye mfululizo kuhusu unyanyasaji kwenye mahusiano. Unyanyasaji ni tabia ya kutumia nguvu na utawala kwenye mahusiano. Ni tabia ya u...

02/24/2026
02/14/2026

Video hii inaelezea baadhi ya mambo ambayo wajane na wagane wanapitia, pia fahamu baadhi ya dalili zinazoonyesha k**a mtu ameathiriwa na majonzi na chukua ha...

Jinsi ya Kukabiliana na Majonzi/ agrief
01/31/2026

Jinsi ya Kukabiliana na Majonzi/ agrief

Video hii ni mwendelezo wa somo linalohusu majonzi. Hili ni somo linalifundisha jinsi ya kukabiliana na majonzi, na pia linafundisha mambo ya kuepuka kusema ...

Available
01/28/2026

Available

https://youtu.be/Yl1kKUoxkIM
01/17/2026

https://youtu.be/Yl1kKUoxkIM

Video hii inaeleza kuhusu majonzi/huzuni/msiba (Grief). Ni mfululizo wa mafundisho kuhusu jinsi majonzi ya kufiwa yanavyoweza kukuathiri. Pia inafundisha umu...

Happy New Year💥💥
01/02/2026

Happy New Year💥💥

Heri ya Mwaka Mpya! Kila mwaka watu wanapoanza mwaka mpya, huwa wanakuwa na malengo waliyojiwekea katika mwaka mpya. Video hii inakukumbusha umuhimu wa afya ...

Merry Christmas!
12/21/2025

Merry Christmas!

Video hii inaongelea tatizo la msongo unaotokana na maadalizi na sikukuu za mwisho wa mwaka. Pia inatoa mbinu za kukabiliana na msongo huo ...

Afya ya Akili na Malezi Ughaibuni🌎
11/24/2025

Afya ya Akili na Malezi Ughaibuni🌎

Video hii inatoa Muhtasari wa Kitabu kiitwacho "Afya ya Akili na Malezi Ughaibuni" Kitabu hiki kimeandikwa kwenye mandhari ya maisha ughaibuni, changamoto za...

Address

11425 Marsh Lane
Dallas, TX
75229

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nevet Counseling Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category