01/08/2024
TIBA YA TEZI DUME KWA MWANAUME BILA UPASUAJI KABISA SIKU (90,)
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume.
Tezi dume siyo ugonjwa bali ni moja ya tezi k**a tezi nyingine mwilini.
Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.
Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na hivyo mbegu za kiume kubaki hai kwa muda mrefu na unaostahili.
Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu na kasi ya utanukaji wake hutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine.
Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi kwa sasa.
Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 3 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.
NINI MAANA YA UKUAJI WA TEZI DUME?
Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa likijitokeza kuanzia miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, na
mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.
II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi hasa katika kipindi hiki cha sasa.
Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.
Vifuatavyo ni vyanzo vinavyoweza kupelekea kutanuka kwa tezi dume
📌Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
📌Uwepo wa sumu nyingi mwilini
📌Kutokufanya mazoezi
📌Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
📌Maambukizi kwenye njia ya mkojo (UTI)
📌Kupiga punyeto kwa mda mrefu
📌Kufanya mapenzi kinyume na maumbile
📌Yapo baadhi ya matibabu mfano kukaa na catheter mda mrefu.
📌Na mengine mengi.
NB:SIO K**A TUMESEMA INAWAPATA WATU KUANZIA MIAKA 45 UKADHANI WEWE CHINI YA HAPO UPO SALAMA HAPANA
K**A UNAFANYA VITU HIVYO HAPO JUU UPO UWEZEKANO MKUBWA NA WEWE KUPATA CHANGAMOTO HII.kinga ni bora kuliko tiba.
MATIBABU YA TEZI DUME BILA UPASUAJI
📞💬0717772517/0717772217