01/03/2026
✨️Mara nyingi ngozi ya uso ikipata changamoto (hasa kwa wanawake) inaweza kupelekea madhara k**a:
▪︎ Kukosa ujasiri
▪︎ Kutokujiamini hasa mbele za mtu/watu
▪︎ Kujiona hufai
▪︎ Kujishusha thamani
▪︎ Kuwa na msongo
Na madhara mengine unaweza kutueleza hapa chini. Ngozi yako ilipopata changamoto fulani ilikuathiri vipi?? Ukipenda tushirikishe kwenye comment.👇🏾
💥Kwa suluhisho la changamoto mbali mbali za ngozi, karibu Health Matters Healing & Beauty Therapies. Tuna wataalamu wabobevu kwenye masuala ya "skin care" na bidhaa zetu ni "rafiki kwa afya" yako.
☎️ Call/Wa: +255 758 394652 to book your session today.