Tube medical

Tube medical Bringing Consultations, Exams & Treatments to You: Whether at home, office or online.

Tube Medical was created and is managed privately by Dr Issa Faustine Mbashu with the objective of sharing content that aim at raising awareness: Topics range from SCIENCE, MEDICINE, TECH, ENTREPRENUERSHIP and LIFE SKILLS, Contact: Whatsapp +255785846280, Facebook, Instagram & TIKTOK

16/02/2026

SABABU ZA MAPIGO YA MOYO KUWA JUU 🇹🇿

15/02/2026

*DEEPFAKE VIDEOS*

Habari za asubuhi. Poleni na hongereni kwa majukumu.

Naitwa *Dr. Issa F. Mbashu* na naomba niseme yafuatayo kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikionyesha sura yangu nikitangaza bidhaa iitwayo *BELLY GINGER DRAIN* , ikidai kuwa ni tiba ya kupunguza kitambi na uzito wa mwili.

Video hiyo ni feki. Watu hao wametumia sura na sauti yangu kutengeneza video hiyo na kutangaza bidhaa yao bila idhini yangu.

Kwa msingi huo, naomba wananchi mtambue yafuatayo:

1. Video feki mitandaoni zimejaa kwa wingi, msiamini kila mnachokiona mtandaoni.
2. Sijihusishi na promosheni ya bidhaa yoyote ndani au nje ya nchi. Hivyo, video yoyote inayomuonyesha sura yangu ikitangaza bidhaa siyo mimi.
3. K**a daktari, siwezi kutoa ushauri mbovu wa aina hiyo. Ni tusi kubwa kwa taaluma yangu.
4. Bidhaa inayotangazwa ni feki na haina uwezo wa kutatua tatizo la kitambi wala kupunguza uzito wa mwili. Ni utapeli mkubwa.
5. Bidhaa hiyo inauzwa na kusambazwa na watu mitandaoni kupitia online stores.
6. Nitoe ombi: msilaghaiwe.

*NILIYOYAFANYA BAADA YA KUONA VIDEO HUSIKA*

1. Nilitoa taarifa kituo cha polisi Salander na kupata RB number. Kwa msaada wa polisi tulipata wahusika na wakakiri kosa.
2. Niliandika barua kwa Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) pamoja na Wizara ya Afya kuhusu video hiyo feki na kubainisha kwamba sihusiki nayo kwa namna yoyote.
3. Nilimshirikisha mwanasheria wangu na tukafikia settlement agreement na wahusika. Baada ya hapo wakaomba msamaha, wakakubali kufuta video zote feki na kutorudia tena. Kesi ilifungwa.
4. Cha ajabu, muda mfupi baadaye wamerudi tena kwa kasi kubwa zaidi kutangaza bidhaa hiyo, wakivunja makubaliano yaliyofikiwa.

*OMBA LANGU KWENU*

Wakati tunaendelea kulifuatilia suala hili, naomba mtambue kwamba hakuna uhalali wowote kwenye hiyo “dawa” iitwayo *BELLY GINGER DRAIN.*

- Haina uwezo wa kuondoa kitambi.
- Wahusika ni matapeli.
- VIDEO FAKE maudhui yake hayahusiani kabisa na uhalisia wa taaluma yangu.

Nisaidieni kusambaza habari hii kwenye makundi ya WhatsApp ili watu wasiendelee kutapeliwa.

Asanteni kwa ushirikiano.

When most people picture a management meeting, they imagine a big office filled with black suits and stern faces. That's...
04/02/2026

When most people picture a management meeting, they imagine a big office filled with black suits and stern faces. That's not the case hapa it's all about warmth, collaboration, and deliverables.

26/01/2026
🚨 DEEPFAKE ALERT 🚨  A video showing me promoting BELLY GINGER DRAIN is FAKE.  I do not endorse any product.  That “remed...
25/11/2025

🚨 DEEPFAKE ALERT 🚨
A video showing me promoting BELLY GINGER DRAIN is FAKE.
I do not endorse any product.
That “remedy” is a scam and cannot reduce belly fat.
Please don’t be misled — help share this message.

Dr. Issa F. Mbashu

DEEPFAKE VIDEOSNaitwa Dr. Issa F. Mbashu na naomba niseme yafuatayo kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikionyesha sura ...
25/11/2025

DEEPFAKE VIDEOS

Naitwa Dr. Issa F. Mbashu na naomba niseme yafuatayo kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikionyesha sura yangu nikitangaza bidhaa iitwayo *BELLY GINGER DRAIN* , ikidai kuwa ni tiba ya kupunguza kitambi na uzito wa mwili.

Video hiyo ni feki. Watu hao wametumia sura na sauti yangu kutengeneza video hiyo na kutangaza bidhaa yao bila idhini yangu.

Kwa msingi huo, naomba wananchi mtambue yafuatayo:

1. Video feki mitandaoni zimejaa kwa wingi, msiamini kila mnachokiona mtandaoni.
2. Sijihusishi na promosheni ya bidhaa yoyote ndani au nje ya nchi. Hivyo, video yoyote inayomuonyesha sura yangu ikitangaza bidhaa siyo mimi.
3. K**a daktari, siwezi kutoa ushauri mbovu wa aina hiyo. Ni tusi kubwa kwa taaluma yangu.
4. Bidhaa inayotangazwa ni feki na haina uwezo wa kutatua tatizo la kitambi wala kupunguza uzito wa mwili. Ni utapeli mkubwa.
5. Bidhaa hiyo inauzwa na kusambazwa na watu mitandaoni kupitia online stores.
6. Nitoe ombi: msilaghaiwe.

NILIYOYAFANYA BAADA YA KUONA VIDEO HUSIKA

1. Nilitoa taarifa kituo cha polisi Salander na kupata RB number. Kwa msaada wa polisi tulipata wahusika na wakakiri kosa.
2. Niliandika barua kwa Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) pamoja na Wizara ya Afya kuhusu video hiyo feki na kubainisha kwamba sihusiki nayo kwa namna yoyote.
3. Nilimshirikisha mwanasheria wangu na tukafikia settlement agreement na wahusika. Baada ya hapo wakaomba msamaha, wakakubali kufuta video zote feki na kutorudia tena. Kesi ilifungwa.
4. Cha ajabu, muda mfupi baadaye wamerudi tena kwa kasi kubwa zaidi kutangaza bidhaa hiyo, wakivunja makubaliano yaliyofikiwa.

OMBA LANGU KWENU

Wakati tunaendelea kulifuatilia suala hili, naomba mtambue kwamba hakuna uhalali wowote kwenye hiyo “dawa” iitwayo *BELLY GINGER DRAIN.*

- Haina uwezo wa kuondoa kitambi.
- Wahusika ni matapeli.
- VIDEO FAKE maudhui yake hayahusiani kabisa na uhalisia wa taaluma yangu.

Nisaidieni kusambaza habari hii kwenye makundi ya WhatsApp ili watu wasiendelee kutapeliwa.

Asanteni kwa ushirikiano.

In a world that often mistakes fluency for intelligence…  We stand as a reminder:  1) Courage sometimes sounds like a pa...
17/10/2025

In a world that often mistakes fluency for intelligence…
We stand as a reminder:
1) Courage sometimes sounds like a pause.
2) Power can live in repetition.
3) Every voice—no matter how it arrives—is worthy of being heard.

LetUsBeHeard

19/09/2025
Empowering Health, One Conversation at a Time
17/09/2025

Empowering Health, One Conversation at a Time

I am my ancestors’ wildest dreams.Grateful beyond measure for the journey, the calling, and the chance to uplift others.
24/08/2025

I am my ancestors’ wildest dreams.
Grateful beyond measure for the journey, the calling, and the chance to uplift others.

Breaking barriers, empowering voices!  - Behind every breakthrough, there's a dedicated team working tirelessly to creat...
13/06/2025

Breaking barriers, empowering voices!

- Behind every breakthrough, there's a dedicated team working tirelessly to create solutions.

- At TUSIKILIZWE - LETUSBEHEARD Foundation, our incredible team is committed to supporting those who stammer and stutter, ensuring that every voice is heard and valued.

- Through therapy, technology, and collaboration, we strive to build a world where communication is a bridge, not a barrier.

- Together, we uplift, empower, and make lasting change!

Breaking the Silence – Addressing Stuttering in TanzaniaStuttering, also known as stammering, is more than just a speech...
01/05/2025

Breaking the Silence – Addressing Stuttering in Tanzania

Stuttering, also known as stammering, is more than just a speech impediment. It affects self-expression, confidence, and mental health — especially when left unaddressed. In Tanzania, limited awareness and cultural stigma make life even more difficult for those who stutter.

At TUSIKILIZWE – LET US BE HEARD FOUNDATION, we are committed to creating a supportive environment for individuals with stuttering through education, advocacy, early intervention, and therapy.

We focus on:

- Understanding the causes and risk factors of stammering

- Recognizing the early signs and symptoms

- Promoting early diagnosis and management

- Providing a platform for therapy, counseling, and confidence-building

Stuttering can significantly affect one’s life in the following ways:

- Low self-esteem

- Social withdrawal

- Fear of speaking in public

- Occupational and academic limitations

- Depression and anxiety disorders

Our work aims to reduce these impacts by promoting inclusion, support, and equal opportunities. We also aim to combat stigma and raise national awareness through campaigns, school programs, and public forums.

Let us be heard — because every voice matters.

Address

Kinyerezi
Kinyerezi
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tube medical posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram