
09/01/2025
K**a na Wewe ni Miongoni mwa Watu ambao
Wanasumbuliwa Sana na Hii Hali ya Kinywa
Kutoa Harufu Mbaya Sana Kila Siku
Hata Baada ya Kupiga Mswaki
Unakuta Bado Mdomo Unanuka
Mpaka Unajisikia Vibaya Hata Kuwa Karibu na ndugu, Jamaa na Marafiki
Kwa Sababu ya Kuhofia Mdomo Kutoa Harufu Kali
Sasa Leo Nataka Ku Share Kitu Kidogo Tu
Nini Kinasababisha Mdomo Kutoa Harufu Kali
Wengi Wanadhani Shida ni Mdomo ambao Unatoa Harufu
Lakini Shida Sio Mdomo
Tatizo Kuu Lipo Kwenye;
"Mfumo Wako wa Chakula"
Ndio, Maana Yake Mfumo Wako wa Chakula Haupo Vizuri
Mfumo Wako wa Chakula ni Mbovu
Hivyo, Hiyo Harufu Kali Inatokea Kwenye Mfumo wa Chakula
Yaani Kutoka Kwenye Tumbo na Utumbo
Ko Watu Wengi Wanaanza Kuhangaika na Mdomo
Bila ya Kujua Hii Shida Inaanzia Wapi...
Kitu cha Muhimu Sana Ili Kusafisha na Kurekebisha
Mfumo wako wa Chakula Uwe Vizuri
Ni Kutumia
" Juisi ya Limao "
Juisi ya Limao Huwa Tunaita ni Kiosho cha Mwili wa ndani
Tumia Juisi ya Limao asubuhi Kabla ya Kupata
Kifungua Kinywa.
Afya Bora
Ni Wewe
Mwenyewe
Mshauri Wako
Mwankenja Adam