
20/10/2024
Karibu Chuo cha Afya cha Elijerry College of Health and Allied Science,Tunawatangazia nafasi za masomo kwa wanafunzi waliomaliza form 4 na form 6,karibu kujiunga Elijerry College kwa elimu bora na uhakika wa kufaulu kozi za afya.Ada zetu ni nafuu sawa na za serikali na hulipwa kwa awamu.
📌Kujisajili bonyeza link hapa chini 👇🏿 kujaza form ya kujiunga.
https://forms.gle/LkoZizhiShrtQBg36
Kwa mawasiliano zaidi tupigie/msg: 0714 266535