
06/03/2022
PID NI NINI ?
PID(Pelvic imframatory disease
(maambukizi katika via vya uzaz.)
DALILI ZA PID
👉Kutokwa na uchafu mzito,mweupe,wa njano k**a maziwa ya mtindi
👉Kuwashwa sehemu za siri
👉Kutoa harufu mbaya ukeni
👉 Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
👉 Maumivu ya kiuno
👉Uke kuwa wa ulaini sana au mkavu sana
👉 Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Kuvurugika kwa hedhi
👉Kutoka maji maji mengi ukeni kupita kiasi
👉 Maumivu makali wakati wa kukojoa na wakati wa kwenda haja kubwa
👉Uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula.
👉Kutokwa damu nyingi sana kipindi cha hedhi
👉Au kupata bleed siku nyingi zaidi
👇👇👇👇👇
VISABISHI
👉U.T.I sugu
👉Utoaji mimba
👉Fangasi sugu ukeni
👉 Kutumia njia za uzazi wa mpango
👉 Magonjwa ya zinaa k**a kaswende
n.k na hii ni kutokuwa na mpenzi mmoja.
MADHARA YAKE
👉Mirija ya uzaz kuziba
👉Kutoshika mimba/ugumba
👉Kansa ya shingo kizazi
👉Usipotibiwa kupona kansa usababisha kifo
👉Majeraha kwenye mirija ya uzazi
👉Kupata tatzo la uke mchafu
N.B..PID Mara nyingi uwapata waliopo kwenye mahusiano (95 %)
Kwa tiba wasiliana nasi. 0717952824