Bf Suma ni
B bright
F future
S superior
U unique
M manufacturer of
A America
Kampuni ya bfsuma
Ilianza rasmi Los Angeles Amerika mwaka 2006 ikiwa imejikita Sana na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za afya. Makao makuu ya kampuni ya bfsuma yako nchini America Los Angeles
Baada ya kuanzishwa ilianzisha kuzalisha Aina 7 za bidhaa za virutubisho ambazo ni
1.bidhaa za kuongeza kinga
2.bidhaa za mi
fupa na viungo
3.bidhaa za kuzuia mikunyanzi ya ngozi(kutozeeka kwa ngozi)
4.bidhaa za nguvu za kiume na shida za uzazi kwa wanawake
5.bidhaa za magonjwa ya moyo na mishipa
6.bidhaa binafsi Kama sabuni dawa ya mswaki n.k
7.bidhaa za kupunguza unene
Lakini kampuni ya bfsuma imethibitishwa na kupatiwa vyeti mbalimbali vya afya
Mfano FDA, halal, GMPs n.k
Kwa Mara ya kwanza kampuni ya bfsuma iliingi Africa mwaka 2010 ukaingia
2011 Kenya
2012 Uganda
2013 Nigeria
2014 Tanzania
Ikaenea nchi mbalimbali Africa Kama vile Zambia, Congo, Botswana, Africa kusini,Ghana Namibia n.k
Kampuni ya bfsuma inafanya biashara katika mfumo wa mtandao ambapo unajiunga unaanza kushirikisha marafiki wajiunge kwenye mtandao wako kadri wanavyojiunga na kukuza mtandao wako ndio unavyozidi kufanikiwa
Kujiunga na kampuni ya bfsuma kwa Tanzania ni tsh 46,000 baada ya kujiunga unapewa mfuko wenye:
-kadi ya uanachama
-kitabu
-pin ya kampuni
-pakiti 10 za kahawa
Baada ya kujiunga utaendelea kupanda cheo kutoka star 1,star 2,star 3,star 4,star 5,star 6 star 7,senior leader,diamond leader,senior diamond leader,crown leader na senior crown leader
Lakini hii itategemea a na bidii yako na team unayoifanya nayo kazi chini yako
Kuna faida 11 baada ya kujiunga na bfsuma
1.faida za reja reja mfano ukiwa mwanachama unanunua bidhaa Kama antidirr kwa 11500 wewe unaweza kuiuza kwa 21500 hiyo 10,000 ya ziada ni faida yako unapata papo kwa papo
2.faida kutoka kwenye mtandao wako mfano chochote team wanachofanya unapata % kutoka kwenye team yako
3.malipo unayopata kwa kila mwanachama unayemuingiza kwenye kampuni
4.malipo unayopata kutokana na kiinua viongozi wengine wafike cheo Cha 7 star
5.malipo unayopewa kwa cheo Cha 4 star na 7 star
6.malipo unayoyapata dunia nzima toka kwenye gawio la dunia
7.zawadi za safari kila mwaka
8.zawadi za Gari kila mwaka
9.zawadi za nyumba kila baada ya miaka 5 unapofika cheo Cha crown leader
10.bima ya afya yenye thamani ya tsh 40 elfu inayakuruhusu kutibiwa popote duniami(hii kwa wale wote wamefika senior diamond leader)
11.malipo unayoyapata kutoka kwenye kampuni kwa kuanzisha duka
12.kampuni inakusaidia kufanya Kazi kwa urahisi mfano. Kama kukupa business cards ,duka la mtandaoni ,semina mbalimbali zitakazo kuongezea ufanisi wa Kazi
13.kampuni inakupa kibali cha kufungua kampuni yako ya afya ndani ya kampuni
Wasiliana Nami distributer wa kampuni ya BF SUMA kwa taarifa zaid na kwa maelekezo zaidi kuusu kujiunga- 0759191274 au 0621091274
JIUNGE SASA UFAIDIKE!!