AFYA BORA NI UHAI

AFYA BORA NI UHAI Afya na matibabu bora ni uhai kwa kila binadamu

Mwanamke unafahamu pid ni nini na namna gani ya kuweza kuitibu.Una changamoto za uzazi na changamoto ya uvimbe kwenye ki...
23/01/2021

Mwanamke unafahamu pid ni nini na namna gani ya kuweza kuitibu.
Una changamoto za uzazi na changamoto ya uvimbe kwenye kizazi usisite kuwasiliana nami
0783659368
inatibika jilinde jipende

Njoo ujifunze fursa ambayo itakusaidia uweze kujikwamua kiuchumi.Call/whatsapp 0783659368Dm      kiuchumi
23/01/2021

Njoo ujifunze fursa ambayo itakusaidia uweze kujikwamua kiuchumi.
Call/whatsapp 0783659368
Dm
kiuchumi

30/12/2020
14/11/2020

JINSI YA KUPAMBANA NA TATIZO LA TEZI DUME KUPITIA MITISHAMBA ASILIA.

Tezi dume nini ..ni tezi inayopatikana kwa mwanaume tu.
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..

Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.👇
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi

2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.

3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani

4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.

5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo

6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.

7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana.

UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo La tezi dume.Sasa KUNA SULUHUSHO..
PROSTATRELAX ni bidhaa ya asili inayosaidia watu wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba asilia.
Tazama video hapo chini kwa maelezo Zaidi na piga kwa ushauri na matibabu
Tazama ushuhuda hapo chini👇👇

Usisahau kushare na wengine pia.
Piga kupitia namba 0783659368

Katika maisha ya mwanamke hupitia vipindi vikuu vitano ambavyo ni;1.Kuvunja ungo2.Tendo la ndoa3.Mimba4.Uzazi5.Kukoma kw...
06/10/2020

Katika maisha ya mwanamke hupitia vipindi vikuu vitano ambavyo ni;
1.Kuvunja ungo
2.Tendo la ndoa
3.Mimba
4.Uzazi
5.Kukoma kwa hedhi
Hivyo basi katika hatua hizi zote mwanamke hutokwa na uchafu na damu,hii husababisha matatizo makubwa akipunguza umakini.
Hivyo basi suluhisho limepatikana nayo ni FEMICARE.
FAIDA ZA FEMICARE.
1.Inasaidia uke kupambana na maambukizi.
2.Inaondoa majimaji machafu,harufu na miwasho.
3.Inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywele hasa sehemu za siri, vijidudu vinavyoshambulia njia ya mkojo, vijidudu vya fangasi na vijidudu vingine hatari hasa sehemu za siri.
4. Kuweka UKE safi na kuukinga na maambukizi
FEMICARE imethibitishwa na mamlaka husika hivyo basi ni salama kwa matumizi.
#
#
#
#
# hapana kwa PID
# hapana kwa UTI
# hapana kwa FANGASI UKENI
Kwa mawasiliano zaidi piga/whatsApp
0743694677

Femicare-Feminine cleanser. Katika maisha ya mwanamke hupitia vipindi vikuu vitano ambavyo ni;1.Kuvunja ungo2.Tendo la n...
03/10/2020

Femicare-Feminine cleanser.
Katika maisha ya mwanamke hupitia vipindi vikuu vitano ambavyo ni;
1.Kuvunja ungo
2.Tendo la ndoa
3.Mimba
4.Uzazi
5.Kukoma kwa hedhi
Hivyo basi katika hatua hizi zote mwanamke hutokwa na uchafu na damu,hii husababisha matatizo makubwa akipunguza umakini.
Hivyo basi suluhisho limepatikana nayo ni FEMICARE.
FAIDA ZA FEMICARE.
1.Inasaidia uke kupambana na maambukizi.
2.Inaondoa majimaji machafu,harufu na miwasho.
3.Inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywele hasa sehemu za siri, vijidudu vinavyoshambulia njia ya mkojo, vijidudu vya fangasi na vijidudu vingine hatari hasa sehemu za siri.
4. Kuweka UKE safi na kuukinga na maambukizi
FEMICARE imethibitishwa na mamlaka husika hivyo basi ni salama kwa matumizi.
#
#
#
#
# hapana kwa PID
# hapana kwa UTI
# hapana kwa FANGASI UKENI
Kwa mawasiliano zaidi piga/whatsApp
0743694677

02/10/2020

Tiba ya bawasiri kwa kutumia mitishamba asilia

JE, UNAJUA BAWASIRI NI NINI????!!
Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
*CHANZO CHA TATIZO*
1.chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni Ă·
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

# # # DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

*MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,

(NOVEL DE PILE)
NOVEL DE PILE NI KIRUTUBISHO CHA ASILI KINACHOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS)
INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
PIA UTATUMIA NA VIRUTUBISHO KWA AJILI YA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,
HUREKEBISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA.

HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA.

Piga kupata huduma
0743694677

31/07/2020

KINGA NA TIBA YA TEZI DUME BILA UPAUAJI.
Tezi dume nini ..ni tez inayopatikana kwa mwanaume tu..ipo kuzunguka njia ya mkojo karibu na kibofu cha mkojo..kazi ya tezi dume ni kutengeneza majimaji ya shahawa,na kurutubisha mbegu za kiume yaani kuzipa chakula..
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..
Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana..
UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo LA uvimbe wa tezi dume..
Mara nyingi suluhisho imekua upasuaji lakini upasuaji ukifeli watu wanakosa nguvu za kiume..
Sasa KUNA SULUHUSHO..
La bidhaa ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba unaoitwa prostaep(flavnoids na polypeptide) itakusaidia.imethibitishwa na Tfda,cGMP,na Halal,unaweza tumia kujitibu au kujikinga.
Tazama video hapo chini kwa maelezo na ushauri na kupata huduma piga ,,

05/07/2020

KINGA NA TIBA YA TEZI DUME BILA UPAUAJI.
Tezi dume nini ..ni tez inayopatikana kwa mwanaume tu..ipo kuzunguka njia ya mkojo karibu na kibofu cha mkojo..kazi ya tezi dume ni kutengeneza majimaji ya shahawa,na kurutubisha mbegu za kiume yaani kuzipa chakula..
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..
Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana..
UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo LA uvimbe wa tezi dume..
Mara nyingi suluhisho imekua upasuaji lakini upasuaji ukifeli watu wanakosa nguvu za kiume..
Sasa KUNA SULUHUSHO..
PROSTATRELAX ni dawa ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba unaoitwa prostaep(flavnoids na polypeptide) itakusaidia.imethibitishwa na Tfda,cGMP,na Halal,unaweza tumia kujitibu au kujikinga.
Tazama video hapo chini kwa maelezo na ushauri na kupata huduma piga ,,0783659368/0716518026

23/06/2020

Tazama video hapo chini kwa maelezo na ushauri na kupata huduma piga ,,0711348402

Address

Mapumulo

Telephone

+255783659368

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA NI UHAI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA BORA NI UHAI:

Share