Iddi healthy solution

Iddi healthy solution “Afya ni mtaji...” “Our mission is to provide a healthly and happy life to people”

UHUSIANO KATI YA BAWASIRI NA NGUVU ZA KIUME    Utafiti unasema kati ya wanaume 10 wanaume 7 wana upungufu wa nguvu za ki...
11/02/2024

UHUSIANO KATI YA BAWASIRI NA NGUVU ZA KIUME

Utafiti unasema kati ya wanaume 10 wanaume 7 wana upungufu wa nguvu za kiume.Upungufu wa nguvu za kiume unajumuisha matatizo k**a:
1)Mwanaume kushindwa kutungisha mimba
2)Uume kushindwa kusimama vizuri
3)kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4) kuwahi kumwaga mapema
Tatizo hili huchangiwa na sababu mbalimbali k**a vile kujichua,lishe mbovu na magonjwa yanayohusiana k**a vile presha na kisukari
Kwa Upande wa bawasiri maana yake mishipa iliyopo sehemu ya haja kubwa yaani pelvic muscles huathirika kwa kiasi kikubwa ambapo mishipa hii pia huhusika katika uume kusimama vizuri
Hivyo bawasiri ni kichocheo kimojawapo cha nguvu za kiume.Kwa bahati nzuri tatizo hili hutibika kabisa na mwanaume akarudi kwenye hali yake k**a ya mwanzoni

10/09/2023

Namna ya bawasiri inavyosabisha upungufu wa nguvu za kiume

Bawasiri ni kinyama ambacho kinatokoka sehemu ya haja kubwa yaani kwenye mifereji ya haja kubwa ambapo inaweza ikawa ndani (bawasiri ya ndani) au sehemu ya nje(yaani bawasiri ya nje)

Vyanzo vya moja kwa moja vya bawasiri ni pamoja na kupata choo kigumu,kukaa sehemu moja kwa muda mrefu(hasa watu wa maofisini) pamoja na Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile

Bawasiri pia hupelekea upungufu wa nguvu za kiume kwa sababu mishipa ambayo huathirika kutokana na bawasiri ambayo kwa kitaalamu inaitwa pelvic muscles ndiyo hiyo inahusika na kusimama kwa uume

Hivyo basi mtu mwenye bawasiri(kwa mwanaume)hupelekea tatizo la kushindwa kusimama kwa uume yaan erectile disyfunction na kukosa hamu ya kufanya mapenzi

Ugonjwa huu ni hatari sana kwa mwanaume na bahati nzuri unatibika tena pasipo upasuaji unashuriwa kutafuta tiba mapema.Asante kwa kusoma makala hii
Kwa ushauri zaidi
0763760620

18/07/2023

Habari

10/07/2023

Dalili za kutopata choo
1)Kuchoka bila sababu
2)Ngozi kupata chunusi zisizo za kawaida
3)Gesi tumboni
4)Kula kidogo na kujisikia vibaya
5)Kukosa hamu ya kula

01/07/2023

Nani amesema bawasiri haitibiki ..??
Watu wengi wamekuwa wakifikiria ya kwamba bawasiri haiwezi kutibika lakini ukweli ni kwamba kutibika inatibika hii ni kwa sababu ukitibu chanzo cha bawasiri umeshaitibu yenyewe
Watu wengi hawaponi bawasiri kwa sababu wanatibu matokeo ya bawasiri badala ya kutibu chanzo chake

01/07/2023

Vyakula vya kuzingatia ili kujiepusha na bawasiri

Magonjwa mengi katika Karne hii ya 21 yamesababishwa na mfumo mbovu wa chakula na maisha na leo tutazungumzia kuhusu bawasiri
Labda tuanze na hili swali
Bawasiri ni nini..??
Bawasiri ni ugonjwa ambao hutokea pale ambapo kinyama hutokeza kwenye njia ya haja kubwa.Ambapo sababu kuu inayotokea hapo ni chakula kutokume’ngenywa vizuri
Hii hupelekea choo kigumu na mwisho wa siku huleta ugonjwa wa bawasiri

Hivyo basi ukifuata mfumo huu wa chakula utajiepusha na bawasiri au madhara yake
1)kunywa maji mengi
-Hii itakusaidia zaidi katika ume’ngenyaji wa chakula na inatakiwa angalau glasi 8 za maji kwa siku

2)mboga mboga za majani
-K**a vile mchicha,majani ya maboga na majani ya kunde

3)Vyakula vya nyuzinyuzi
K**a vile viazi vitamu,ugali wa dona na Matunda k**a vile embe,nanasi ,ndizi mbivu na papai
Asante kwa kusoma makala hii
Uwe na siku njema rafiki yangu

02/05/2023

Kwa karne ya 21 inabidi mtu ale chakula k**a dawa na sio dawa k**a chakula

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255763760620

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iddi healthy solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share