Baraka afya ya mfumo wa damu

Baraka afya ya mfumo wa damu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Baraka afya ya mfumo wa damu, Medical and health, Buzuruga, Mwanza.

03/10/2023
Ona ugonjwa wa kisukari unavyo athiri pata suluhisho mapema. Kwa kupiga simu/whatsapp no 0714238956
03/10/2023

Ona ugonjwa wa kisukari unavyo athiri pata suluhisho mapema. Kwa kupiga simu/whatsapp no 0714238956

Moja ya mazara ya figo kufeli ni kuvimba kwa miguu. K**a una tatizo hilo usisubiri mdhara makubwa pata suluhisho kwa kup...
03/10/2023

Moja ya mazara ya figo kufeli ni kuvimba kwa miguu. K**a una tatizo hilo usisubiri mdhara makubwa pata suluhisho kwa kupiga sim/ whatsapp no 0714238956

31/08/2023

HATUA ZA KUKUA KIMAENDELEO
“Njia pekee tunayoweza kuishi ni ikiwa tutakua. Njia pekee tunayoweza kukua ni ikiwa tutabadilika. Njia pekee tunayoweza kubadilisha ni ikiwa tunajifunza. Njia pekee ambayo tunaweza kujifunza ni ikiwa tumefunuliwa. Na njia pekee ambayo tunaweza kujifunua ni kwa kujitupa nje wazi. "

12/08/2023

MADHARA YA UGONJWA WA KISUKARI: soma kwaajili yako na jamii inayokuzunguka.
Ugonjwa huu hutokana aidha kutokuwepo kabisa kwa Insulin au kuwepo kiwango kidogo cha Insulin' hii ni hormorne inayodhibiti kiwango cha sukari mwiliniUGONJWA WA KISUKARI
Neno ugonjwa wa kisukari linajumuisha magonjwa yote yanayosababisha kiwango cha
sukari katika mwili wa mtu kuwa juu. Tunasema mtu ana tatizo la kisukari pale ambapo mwili wa mtu huyu unakuwa na ukosefu wa insulin katika mfumo wake wa damu au pale ambapo mwili wake
unashindwa kutumia insulin iliyopo katika mwili wake hivyo kusababisaha kiwango cha sukari katika mwili kupanda.

Hii ndiyo aina ya kisukari inayowasumbua watu wengi zaidi
(diabetes mellitus) ingawa kuna aina zingine za kisukari. Sukari tunayoizungumzia hapa si ile ambayo huuzwa madukani (sucrose) bali ni carbohydrate asilia (glucose) ambayo hupatikana kwa wingi kwenye vinywaji baridi (soda) na kwenye matunda.

Kiwango cha glucose katika damu hudhibitiwa na homoni. Kuna homoni nyingi zinazofanya kazi hii ikiwa ni pamoja na ile inayotengenezwa na kongosho, iitwayo insulin. Homoni ni kemikali zilizopo katika mwili wa binadamu na zinafanya kazi ya kutuma ujumbe tofauti kutoka seli moja hadi nyingine.

Unapokula chakula chenye wanga au sukari, kiwango cha sukari huongezeka katika mwili wako na insulin hutuma ujumbe kuzitaarifu seli zinazohitaji glucose kuchukua sukari hiyo kutoka kwenye mfumo wa damu. Seli zikiisha kuchukua glucose ya kutosha kwa matumizi yao, ile ya ziada hutunzwa katika baadhi ya seli k**a Glycogen.

K**a mwili haupati chakula, seli huvunjavunja glycogen iliyotunzwa na kuibadili kuwa glucose kwa matumizi ya mwili. Iwapo insulin haifanyi kazi yake kiwango cha sukari mwilini hupanda. Gluocose hutumiwa na seli kuleta nguvu mwilini.

Kutokana na ufafanuzi wetu wa kisukari cha aina hii hapo juu, tunaona kwamba kuna aina mbili au makundi mawili ya watu
wanaosumbuliwa na kisukari cha aina hii,
type 1 diabetes mellitus
type 2 diabetes ispidus

07/08/2023

IJALI AFYA TAKO
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna vimelea mwilini vinavyohusiana na magonjwa hayo. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni k**a ya moyo na mishipa ya damu, figo, saratani, kifua sugu, kisukari, magonjwa ya akili na mengine ya kurithi k**a vile ugonjwa wa selimundu (Sickle Cell Disease).

Ripoti ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ya 2013, inadai magonjwa yasiyo ya kuambukiza ndio chanzo kikubwa cha vifo ulimwenguni, yakifanya asilimia 63 ya vifo vyote kwa mwaka. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza huua watu zaidi ya milioni 36 kila mwaka. Asilimia 80 ya vifo vinasababishwa na magonjwa hayo hutokea nchi zinazoendelea, Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi hizo. Inakisiwa kuwa mwaka 2020 magonjwa haya yasiyo ya kuambukiza yatasababisha asilimia 73 ya vifo vyote duniani na asilimia 60 ya ukubwa wa tatizo la magonjwa duniani.

Nchini Tanzania, katika mpango wa upimaji wa afya kwa magonjwa yasiyoambukiza jijini Dar es Salaam, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwa idadi kubwa ya wanaume wanapatwa na magonjwa hayo kuliko wanawake. Uchambuzi huo umeonyesha magonjwa yasiyoambukiza k**a kisukari, shinikizo la damu na saratani zote ambazo zimekuwa chanzo cha vifo hivyo, huku serikali ikisema imeamua kuongeza juhudi za makusudi kupambana nayo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mfuko wa Bima ya Afya, athari ya magonjwa yasiyoambukiza ni mara nne zaidi ya watu waliopo mijini kuliko vijijini, huku asilimia 12.8 ya wanaougua wakiwa wako mijini na asilimia 3.1 wako vijijini kutokana na mfumo wa maisha.

Uchunguzi mwingine uliofanywa na jopo la madaktari bingwa kuanzia mwaka 2011 hadi 2014 ulibaini asilimia 79 ya watanzania wazee waligundulika kuugua magonjwa ya kisukari, macho na shinikizo la damu. Pia walidai magonjwa hayo yamekuwa kikwazo cha maendeleo kutokana na kuwasumbua wazee na hata wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50.

Kisukari ikiwa ni moja ya muuaji wa kimya kimya katika kundi hili la magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Watu milioni 285 duniani kote wameathiriwa na kisukari ambayo ni sawa na asilimia 6.6 ya idadi ya watu wote ulimwenguni pia ikishika nafasi ya 5 kwa kusababisha vifo duniani.

Nchi zinazoongoza kwa idadi kubwa ya watu wenye kisukari ni China wagonjwa milioni 43.2, India wagonjwa milioni 40.9, Marekani wagonjwa milioni 25.8, Urusi wagonjwa milioni 9.6 na Brazil wagonjwa milioni 6. Nchi zenye idadi kubwa ya watu wazima wenye kisukari ni Nauru kwa asilimia 30, Bahrain kwa asilimia 25.5, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa asilimia 25, Saudi Arabia kwa asilimia 23.7 na Mauritius kwa asilimia 20

Address

Buzuruga
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baraka afya ya mfumo wa damu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Nearby clinics



You may also like