04/03/2023
KWA KAWAIDA MWANAMKE UKE WAKE UNATAKIWA KUWA NA HALI YA UNYEVUNYEVU KUTOKANA NA UTE MWEUPE UNAOZALISHWA ILI KUSAIDIA UKE KUWA SAW. HOMONE INAYOJULIKANA KAM ESTROGEN NDYO INAHUSIKA NA UZALISHAJ WA UTE UTE HUO NA KUSAIDIA KUTA ZA UKE KUVUTIKA( ELASTIC) PIA UTE HUU HUSAIDIA KUWEKA KAZIN RAFIKI KWA MBEGU ZA KIUME KUPITA MPKA ZIMAPOFIKA KWENYE MAYAI YA K**E KUSHUKA KWA KIWANGO CHA UTENGENEZEAJ WA HII HOMONE (ESTROGEN) NDIO CHANZO KIKUBWA CHA KUFANYA UTE KUPUNGUA NA UKE KUWA MKAVU KIWANGO CHA HOMONE KINAWEZA KUSHUKA UZALISHAJ WAKE KUTOKANA NA SHIDA YA HOMON IMBALANCE DALILI ZAKE 1 KUPATA MAUMIVU WAKAT WA KUSHIRIK TENDO LA NDOA 2 KUHISI KICHEFU CHEFU 3 UCHOVU ULIOPITILIZA 4 KUOTA NYWELE SEHEM MBALIMBAL ZA MWILI 5 UZITO ULIOPITILIZA 6 KUWA NA HASIRA ZA HARAKA MADHARA 1 KUTOKUW NA UWEZO WA KUPATA UJAUZITO 2 KUTOKUFURAHIA TENDO LA NDOA 3 KUKOSA KUJIAMIN MBELE YA MWENZA WAKO Call/WhatsApp 0658696820